Kumekuwa na Madai ya kwamba matumizi ya mboga za majani aina ya chainizi yamekua na madhara katika ufanisi wa tendo la ndoa kwa wanaume. Kuna ukweli gani katika hilo suala?
Naomba nijibiwe kitaalam niweze kuelewa.
Nimekutana Na Chapisho Kwenye Mtandao Wa Instagram Likieleza Kuwa Bahari Ya Galilaya Imegeuka Nyekundu Kama Damu
Chapisho Hilo Limechapishwa Kwenye Ukurasa Wa Global Tv Online's
Nimeona Nilete hapa Kwa Ajili ya Verification
Ndugu mstaafu kikwete amedanganya umma kuwa hata awali ridhiwani alipita bila kupingwa Si kweli.
Ridhiwani alipingwa na ushindani ulikuwa mkubwa tu wa kutosha mwaka huu kubadili matokeo. Na huu hapa ni ushahidi.
Si vizuri kwa mtu wa umri wake kusema amedanganya. Mila zetu haziruhusu. Ila mtu anapozoea kuwa muongo hudanganya kwenye kila jambo.
Wakuu,
Nimeona video huko Facebook upepo mkali unabeba viti na inadaiwa kuwa imetokeo huko Kilwa kwneye moja ya mkutano wa wagombea ubunge katika mchakato wa kuomba kura za maoni kwa wajumbe huko CCM
Wakuu nimekutana na hiki kipeperushi hapa kinadai kuwa aliyekua Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amechukuwa jengo la ofisi kuu za chama hicho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.