JamiiCheck

A citizen-centered approach in countering misinformation and disinformation Online and Offline by JamiiForums

On JF:

Kumekuwa na video ambayo inasaambaa kwenye mitandao ya kijamii hasa facebook ikimuonesha aliyekuwa refree wa mchezo kati ya Morocco dhidi ya taifa stars akizungumza mara baada ya kutamatika kwa mchezo huo ambao ulisha kwa morocco kuondoka na ushindi wa goli moja kwa bila. Mchezo huo wa raundi ya kumi na sita 16 umechezeshwa na refree kutoka mali ambaye anaitwa Boubou Traoré
Kumekuwepo Na Chapisho Linalo Sambaa Kwenye Mitandao Ya Kijamii Hasa Facebook Likiwa Na Ujumbe Kwa Vyombo Vya Habari.Je Lina Ukweli Kiasi Gani? Hii Ni Nukuu Ya Ujumbe huo ""Baada yakuteuliwa kuwa waziri wa habari, Makonda kaja na Sheria mpya. Mtu yoyote ili aweze kutoa taarifa ya serikali ni lazima awe na leseni, kinyume Cha hapo unaenda segerea miezi 6 au faini ya milioni tano. "Ni Marufuku kuandika taarifa yoyote ya serikali kwenye mitandao wowote wakijamii au kuongea redioni bila leseni, ukifanya ivyo unakuwa umefanya kosa la jinai" ~Paul Makonda.
Wakuu Nimekutana na hii taarifa ikiambata na video na kudai kuwa ni ushuhuda wa kwamba Lissu alieleza kuwa walikutanishwa na Padri kitima kwa lengo la kupatanishwa. Je ni kweli Lissu alisema maneno hayo? === OGOPA MUNGU na TEKNOLOJIA amewahi kusema marehemu Ruge Mutahaba. Huyu hapa Tundu Lissu anaeleza wazi namna walivyoitwa na Padri Kitima kupatanishwa yeye na Mbowe Kama alivyonukuliwa @habibu_mchange hapo Jana akihojiwa na Edwin Odemba.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…