JamiiCheck

A citizen-centered approach in countering misinformation and disinformation Online and Offline by JamiiForums
Agosti 5, 2022 kuna uvumi ulivuma sana kwenye vyombo mbalimbali vya habari vikionesha kuwa Elon Musk anataka kununua Facebook kisha kuifuta.
Kulikuwa na uvumi kuwa klabu ya Simba kuachana na kocha wa klabu hiyo, Pablo Franco Martín kutokana na mfululizo wa matokeo mabovu ya timu na kufungwa na Yanga katika nusu fainali la kombe la FA. Kumekuwa na taarifa kuwa Mohammed Adil Erradi, amefika Dar kwa ajili ya kufanya mazungumzo na mabosi wa Simba huku akiwa ameomba ruhusa ya mapumziko katika klabu yake.
Inaaminika kuwa bangi inaweza kutibu aina mbalimbali za saratani mwilini, na baadhi ya watu huitumia wakiwa na imani hiyo. Tunataka kufahamu ukweli wa jambo hili, pamoja na uthibitisho wake kisayansi.
Hivi karibuni kulizuka uvumi wa watu kulipa hela nyingi kununua vidole vya miguu nchini Zimbabwe. Je, Ukweli ukoje?
Inadaiwa Klabu ya Manchester City imeongeza jitihada za kutaka kumsajili nyota wa Klabu ya Arsenal na timu ya Taifa ya England, Bukayo Saka.
Ulivyo Soma ni sahihi kabisa wala hujakosea. Ndo habari ya mjini, zile nyumba zote zilizopo kwenye mountain inabidi zitoke jamaa wa Brazil aje ajenge na Familia yake.
Kwa mujibu wa vyanzo , Mwana habari Nuhu Adam amevujisha habari ya Mchezaji Fiston Mayele kusaini kandarasi mpya na club ya Kaizer Chief ya S.A.
Juni 24, 2022 watu 23 wa Afrika Kaskazini waliripotiwa kufariki kwa ghasia zilizokuwa zinaendelea katika Mji wa Spain, Melilla ambao upo kwenye pembe ya Afrika Kaskazini na imepakana na Morocco. Watu hao walifariki katika ghasia ya kuingi nchini humo bila kufuata taratibu za uhamiaji kwa kuvuka uzio unaoigawanya Morocco na Spain
Kumekuwa na uvumi wa muda mrefu kuwa Bri Gen Sultan Makenga kauawa vitani huko DRC. Hatimaye Leo zimevujishwa picha za maiti ya Makenga kwenye mitandao ya kijamii. Itoshe nisema hili ni pigo kubwa sana kwa M23 na kwa Rais Kagame bila kumsahau Lut Gen Kabarebe wa Rwanda. Brig Gen Sultan Emmanuel Makenga. Ni mtutsi mzaliwa na DRC Jimbo la Kivu ya Kusini. Mji mdogo wa Minembwe. Makenga ndiye punda wa M23 na CND enzi za Gen Kunda. Punda kwa maana ndiye aliyefanya kazi ngumu zote za uundaji wa CND baadae M23. Ijapokua ni Mtutsi, Makenga hakupendwa na Kagame. Mtu pekee alikuwa akimpenda Makenga jikoni Rwanda ni Gen James Kabarebe. Na sababu ikiwa Makenga alikuwa msaada mkubwa kwa Kabarebe alipokuwa akiongoza ile Operation Kitona wakati...
Back
Top Bottom