Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Simba sasa yaanza kukodisha mashabiki,baada ya mamelod kuomba waungwe mkono ktk mechi yao itakayopigwa dimba la mkapa. Hakika wanamsimbazi sasa wanatisha.
17 Reactions
25 Replies
3K Views
Najaribu kuwaza kwa sauti jinsi Simba walivyonyimwa penalty na hawakulalamika. Na si kwa mechi ya jana tu, hata mechi za ligi ya nyumbani, Simba wamekuwa wakichezewa rafu mbaya hasa Miquisonne na...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Klabu ya Simba ya Tanzania imeanzisha mashindano mapya ambayo yatajulikana kama Simba Super Cup, Akizungumza na vyombo vya habari CEO wa timu hiyo Barbara Gonzalez amesema mashindano hayo...
14 Reactions
79 Replies
7K Views
Ukiwa kama shabiki wa soka bila kujali unashabikia timu gani, dondosha maoni yako kuhusu uwezo na kiwango cha beki wa kati wa Simba kutoka Kenya Joash Onyango 'Giorgio Chiellini'
9 Reactions
85 Replies
12K Views
Taarifa zinasema kwamba ajali hiyo imetokea mjini California , huku dereva akiwa yeye mwenyewe ambapo ndani ya gari hilo alikuwa peke yake . Huenda akafanyiwa upasuaji . ====== Bingwa mara 15...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Timu yetu ya vijana U 20 imerudi mikono mitupu kutoka Mauritania baada ya vipigo viwili na sare moja. Kama kawaida wapenda soka waneiponda vibsya timu yetu. Ila wengi wamemlaumu kocha Julio na...
2 Reactions
1 Replies
588 Views
Jana niliwaona kina Lewandowisky wakihaha kuwafunga National Al Ahly ya Misri. Leo hii natafakari hivi hawa jamaa waliocheza jana sio ndio Simba tutacheza nao hivi karibuni!? Aisee ...ngoja...
12 Reactions
64 Replies
7K Views
Kama hujui basi jua. Timu kigogo Africa Simba ndio kinara wao. Habari za Simba Sc zimezagaa dunia nzima. Kwa hiyo sina haja ya kueleza saaaaana. Kifupi ni kwamba kuna Wababe halafu kuna Mbabe
10 Reactions
9 Replies
2K Views
Sisemi mengi, kila mwenye macho na ajionee.
3 Reactions
82 Replies
6K Views
  • Redirect
Habari Jf, Leo Simba wamewafunga AL AHLY SC ya Misri ushindi wa bao moja, Nikiwa kama shabiki wa club X nauliza leo wachezaji mmewalisha nini maana sio kwa Simba tunayoijua sisi. VISIT TANZANIA 🇹🇿
6 Reactions
Replies
Views
Kwa utafiti wangu wa kina nilioufanya inaonekana mashabiki wengi hawakupenda kauli mbiu yao mpya kuelekea mechi yao dhidi ya Al Ahly. Wengi wao wameonekana kuwa na hofu kubwa sana ya matokeo...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
NDIYO terehe 1 machi 2014 Yanga alimuua Al Ahly 1 - 0 goli la Canavaro dakika ya 82.
2 Reactions
13 Replies
2K Views
  • Redirect
Tujitahidi apate hata wakala akacheze timu kubwa za ulaya..
4 Reactions
Replies
Views
Roho inaniuma hatari Naona nikalale tu Yaani tushakula 3 ndani ya 15 minutes Asalaleee === FT: Tanzania 0-3 Morocco. Kutoka kundi C, Tanzania inaaga mashindano ikiwa imefungwa jumla ya magoli 8...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
  • Redirect
Simba wapo porini tu hawa wa mjini ni paka Tutaongea jioni asanteni.
0 Reactions
Replies
Views
  • Closed
Jambo TANZANIA na Duniani Kote..! Naaaam..! Jumanne ya February 23, 2021 muda wa saa 10:00 Alasiri, kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, kutakuwa mchezo wa kundi A' wa Klabu Bingwa Barani Afrika...
21 Reactions
189 Replies
18K Views
  • Redirect
Dunguzanguni siku leo Nimeota nyota ya dilunga inan'gara na atafunga goal
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Leo tutashuhudia total war inavyogeuzwa kuwa total failure, mbinu za kupulizia dawa chumba cha kuvalia jamaa wameingia na gas detector inanusa hali ya hewa, wamepulizia madawa chumba kizima kwa dk...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Nimerejea jukwaani tena baada ya kimya ya majuma kadhaa kupita, nimekuwa nikitoa maoni/Utabiri wangu kuhusiana ushiriki wa Simba kwenye klabu bingwa msimu huu kwanzia game ya kwanza dhidi ya...
3 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
TUNAOMBA MAPEMAA MACHELA ZAKUTOSHA REDCROSS HIZO MLIZOLETA HAZITOSHI KABISA NAWASHAURI MLE MSHIBE LEOO MJIANDAEE KUBEBA WENGI TU KWA. PRESSURE WITO TUVAE BAKOA
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom