Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wakuu, Hii ni vita kamili, Total War! National Al Ahly ni klabu ya tatu kwa ubora duniani na tunaheshimu hilo ila Jumanne ijayo kwetu ni vita kamili! Vitapiganwa vita kamili pale kwa Mkapa! Hii...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Tutakuletea updates za maana hapahapa JF hapo saa 1. Mungu ibariki Mtibwa Sukari
10 Reactions
195 Replies
13K Views
Thadeo lwanga ndani.
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Sina jambo lolote dhidi ya Sarpong. Ushauri wangu kwa klabu ya Yanga SC ni kwamba huu ni wakati sahihi wa kuhakikisha Sarpong anaondolewa kwenye mipango ya kikosi cha kwanza cha Yanga SC...
1 Reactions
6 Replies
575 Views
Ni mechi ya simba kuweka record mpya 1. Al ahly baada ya kufungwa na fc buyern tu hakuna club nyingine yoyote imeifunga zaidi ya simba 2. Al ahly ndio safari yake ya kwanza kutoka baada ya mechi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Merseyside Derby imemaliza huku ikibadili history ya Everton ya kutofunga Anfield kwa takribani miaka 21 , baada ya kumtandika Liverpool goli 2-0. N baada ya kujinyakulia alama zote 15 kwenye...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa kuwa Mtibwa nayo ni timu ina Mungu Kwa kuwa refa naye ni binadam aanaweza kupitiwa Namuomba Mungu afanye jambo kesho, Yanga wapigwe, halafu refa akosee awanyime goli la ofside.Halafu tuone...
8 Reactions
37 Replies
3K Views
Huwa najiuliza ni kigezo gani kilitumika hadi football kuchezwa kwa dk 90,Naona kama dakika mia zingekuwa ni bora zaidi,
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kumekuwa na udhalilishaji mkubwa juu ya brand ya Yanga kwa kisingizio cha utani wa jadi kinachofanywa na Kiongozi wa Simba anayejiita Hajji Manara. Nimefuatilia kwa karibu ndani ya msimu huu mtu...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Baada ya kuuanza mwezi Februari kwa kichapo kizito cha goli 9-0 kutoka kwa Manchester United na kisha kupigwa tena 3-2 na Newcastle kwenye michezo ya ligi, Southampton hii leo inashuka tena...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau, Nadeclare interest mimi ni mshabiki wa yanga.. Ukweli kulalamikia marefa sio sahihi kwamba wanatunyima penalty, tumebebwa mechi na tumepewa penalty nyingi zisizo halali mojawapo...
10 Reactions
9 Replies
2K Views
Video ikionyesha wahuni wa Yanga wakiahidi kufanyia fujo marefa kama timu yao itafugwa. Mtibwa Sugar tunatoa rai kwa TFF ishirikiane na Jeshi la Polisi kuweka ulinzi na kutoa kipigo cha mbwa koko...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Timu ya Taifa ya Tanzania vijana umri chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes imeendelea kusuasua kwenye mashindano ya Afcon u-20 baada ya kucheza michezo miwili na kuambulia alama 1. Baada ya...
0 Reactions
4 Replies
877 Views
Baada ya kupoteza katika mchezo wa ufunguzi wa mashindano ya Afcon U20 Juma lililopita, Timu ya Taifa Tanzania ya vijana chini ya miaka 20, almaarufu Ngorongoro heroes hapo kesho wanatupa tena...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
1. Je, TFF, Kamati yake ya nidhamu na Mchezaji Bernard Morisson ndiyo inawafanya akina Sarpong, Nchimbi na Feisal kukosa Magoli? 2. Je, TFF, Kamati yake ya nidhamu na Mchezaji Bernard Morisson...
12 Reactions
19 Replies
2K Views
Klabu ya Yanga imesema kuwa haitendewi haki na vyombo vinavyosimamia mpira wa miguu kwa maana ya Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF),Bodi ya ligi, kamati ya ya masaa 72 na kamati ya...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Ni fedhea sana, ni aibu na haipashwi kufumbiwa Macho kwa hili la Kaze, Kaseke na Wapuuzi wengine wote wa Utopolo wanaolinajisi soka la Nchi yetu. TFF fungieni hawa wote akili zikae sawa.
6 Reactions
68 Replies
6K Views
Mtaitisha press conference ngapi mwaka huu? Ni akili kutishia kujitoa kwa sababu Morrison amefunga? Hivi huwa mnafuatilia ni makosa mangapi hufanywa na waamuzi mechi za wengine au mnadeka watu...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti ZUZU. tena ni ZUZU MAJI KWELI KWELI. Ambaye anaamini na Sisi mashabiki wote ni ndugu zake. Yaani nasi ni Mazuzu Maji plus plus. Nliwahi sema ni nani anamtumia Mwakalebela...
7 Reactions
4 Replies
628 Views
Back
Top Bottom