Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hatuwezi kuwa na makocha wanaotegemea kukanyaga mafuta ili kupata ushindi , hii timu ya vijana sina hakika kama inaweza kupata hata goli kwenye michuano hii , achilia mbali kupata ushindi ...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Kuelekea mchezo wa Klabu bingwa barani Afrika wa Simba dhidi ya Al ahly ya Misri, Simba imeitisha mkutano na waandishi wa habari kuelezea maandilizi kuelekea mchezo huo. Mchezo ambao utapigwa...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Redirect
NI. NGUMU KUAMINI HIiZ N SABABU 3 ZA. SIMBA KUFUNGWA LEO 1)KUJIAMINI KUPITILIZA 2( KIWANGO KIDOGO CHA UWEZO KULINGANISHA NA WAARABU 3)IMANI MBOVU ZA KICHAWI HII N SABABU KUBWA LEO SIMBA...
0 Reactions
Replies
Views
Michezo ya ligi ya mabingwa barani Ulaya itapigwa hii leo ambapo, Atlètico Madrid ya Hispania atakipiga dhidi ya Chelsea ya England. Michezo ambayo Atlètico Madrid amekutana na Chelsea katika...
0 Reactions
0 Replies
601 Views
Mpira wa Ngorongoro sio mbaya sana, wana mpira mzuri sana.. Kocha akiwapanga vizuri wanatoboa. 1. Hakuna siku ambayo possesion imekuwa below 50% 2. Pass accuracy siku zote imekuwa above 50% 3...
6 Reactions
67 Replies
4K Views
Kwa muda mrefu vilabu vyetu, wadau na mashabiki wamekuwa wakilia na kulalamikia sana maamuzi yanayoamuliwa na waamuzi wetu kwenye mchezo pendwa wa soka ama kandanda au kabumbu kama linavyofahamika...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Club ya CD De Agosto ya Angola imetumia ukurasa wake wa instagram kulalamika kwamba Wenyeji wao Namungo FC wanadhoofisha kikosi chao baada ya kupewa majibu kuwa Wachezaji watano wa De Agosto...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Licha ya kuwa Yanga haijapata kupoteza mchezo wa kiushindani msimu huu wa 2020/21, bado kuna haja na sababu ya kuhakikisha tunaimarisha safu ya ulinzi ili kuhakikisha tunapunguza idadi ya magoli...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Tusipoangalia na kuchukua hatua, mpira wetu wa miguu, badala ya malengo hasa yaliyokusudiwa na huyo/hao, mwanzilishi/waanzilishi wa mchezo huu, utageuka kuwa uwanja wa uwasama, chuki na vita, kwa...
1 Reactions
6 Replies
968 Views
“Mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati yetu Simba na Al Ahly kutoka nchini Misri itapigwa saa 10:00 jioni siku ya Jumanne Februari 23, 2021. Ni mechi kubwa sana kwa Simba, Tanzania na Afrika...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
1. Uongozi kwa Kushirikiana na GSM Kukwepa Lawama na kuwalazimisha Mashabiki wao waone wanaowakwamisha ni TFF na Kamati zake. 2. Kutaka Kuwatishia Waamuzi ( hasa huyu wa leo dhidi ya Mtibwa FC )...
9 Reactions
37 Replies
3K Views
Michezo ya kundi C AFCON U20 kupigwa hii leo, ambapo Morocco itakutana na Tanzania huku Ghana ikikipiga dhidi ya Gambia. Hii ni michezo ya mwisho ambayo itaamua ni timu zipi zitasonga mbele...
3 Reactions
6 Replies
650 Views
Wakuu Habari zenu? Kuelekea mechi ya simba na al ahly pale kwa mkapa licha ya kauli mbiu iliyopo ya total war :no point of return. Nilikuwa naona ingekaa hivi ndio ingekuwa vizuri zaidi WAR IN...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mechi imechezwa 21/02/2021 mchezaji wa Ruvu mpira umemgonga usoni refa anafunika penati. Kwa waamuzi wa aina hii akina Saanya bado tunasafari ndefu sana kwenye soka upande wa waamuzi.
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwa siku za karibuni tumeshuhudia Burundi ikileta watu wake kupata ajira hapa Tanzania. Kuna makocha,tena wapo timu kubwa kabisa. Achilia mbali lundo la wachezaji waliopo katika vilabu vyetu...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara inaendelea leo kwa Klabu ya Azam FC kukutana na Tanzania Prisons katika dimbani Nelson Mandela huko Mbeya Mara ya mwisho Azam kukutana na Tanzania Prisons ilikuwa...
2 Reactions
0 Replies
583 Views
Patashika ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kuendelea kutimua vumbi leo February 21, 2021 kwenye uwanja wa Azam Complex, ambapo wenyeji CD De Agosto wanapambana na Namungo FC ===========...
6 Reactions
163 Replies
13K Views
Baada ya ile kashi kashi ya kule Angola je mechi ya kwanza Namungo atacheza na hawa jamaa lini?
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Mchezo wa kombe la shirikisho kati ya De Agosto dhidi ya Namungo umemalizika katika Dimba la Azam Complex Chamanzi jijini Dar es salaam. Katika mchezo huo ambao Namungo ilikuwa ugenini...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Kocha wetu amefeli sana katika idara zote mfano. 1.Ameshindwa kabisa kuunganisha timu kutengeneza kikosi cha ushindi. Angalia beki ya timu wanakatika Hadi wanagombana mfano Lamine na...
8 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom