Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Tusijenge tabia ya kupeana sifa za kij8nga ambazo hazina msaada wowote kukuza timu.kusifia viongozi mchana kutwa usiku kucha.tujenge timu ki mbinu,kiufundi na kwa stamina,tujenge viwanja,tuwekeze...
4 Reactions
7 Replies
393 Views
Naam Habarini za Jumamosi Wanajukwaa. Leo ni siku Murua kabisa kwetu sisi wapenda soka tena lile soka zuri lisilo na Makolokolo,Soka lisilo na Mara Refa kafanya hiki Mara shirikisho limependelea...
2 Reactions
3 Replies
634 Views
Baada ya kuona droo ya robo fainal kupangwa Jana sis Kama Chelsea tumefurahi kupangiwa na real Madrid.tunaenda kumpiga Madrid nje ndani afu tunakuja kwa city nae tunampiga nusu fainail na fainali...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino amezindua KigaliPeleStadium, wenye uwezo wa kuchukua watu 22,000 kwa heshima ya aliyekuwa nguli wa soka kutoka Brazil Edson...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Habari Wana JF Kesho club bingwa Africa Simba SC Mnyama Mkali anacheza na Horoya Simba SC anafunzu MAKUNDI kesho Horoya anapigwa VIZURI tu. Yanga SC Jumapili Dimbani na Monistry Jumapili Yanga...
0 Reactions
5 Replies
926 Views
Simba na Yanga wakizifunga timu za nje ya nchi furaha Yao isiwe kweñye madirisha ya nyumba za washabiki wa Simba au Yanga. Wafurahie bila kuitaja Yanga au Simba. Hii itaukata mnyororo wa timu hizi...
2 Reactions
12 Replies
728 Views
Barcelona iliyoundwa na Valdes golini. Mabeki kama Dani Alves, Puyol, Mascherano na Eric Abidal. Viungo walikuwepo Sergio Busquets, Xavi na Mtaalam Iniesta. Safu ya ushambuliaji ikiongozwa na...
10 Reactions
31 Replies
2K Views
Baadhi ya mashabiki wa Chelsea wamekasirishwa na kitendo cha straika wao, Romelu Lukaku kudaiwa kuwa alimpigia simu Kocha wa Inter Milan, Simone Inzaghi akimuomba amrejeshe kikosini hapo...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
SIJAMUELEWA kocha wa Taifa Stars. Sijamuelewa kabisa Adel Amrouche. Nimeshangaa sana kuona timu yetu ya Taifa ‘Taifa Stars’ inaitwa bila kuwa na majina ya Mohammed Hussein, Aboubakary Salum na...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Mamelodi Sundowns Khayelihle Shozi kwa sasa anapitia tatizo la ugonjwa wa akili. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 alipitia Katika timu za vijana ya Mamelod...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa @FARPostZA, FIFA imeifungia klabu ya Yanga kusajili wachezaji kwa madirisha matatu (3) mfululizo baada ya kushindwa kumlipa fidia ya kuvunja mkataba aliyewahi kuwa Kocha wao Luc...
3 Reactions
54 Replies
5K Views
Kwa wale tunaofatilia Sana mpira wa Ulaya mtakua mnajua jinsi wenzetu wana mifumo wa kuruhusu wachezaji wa Academy kucheza mechi yeyote wakati wowote na timu kubwa. Mchezaji wa academy anakuwa...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Km mnakumbuka wakati tetesi za Feitoto kuondoka Yanga zinaibuka hakikupita kipindi kirefu baadhi ya wachambuzi wengi waliripoti feisal to Azam deal done [emoji736] lkn mpk sasa bado...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa kabla sijaja na Uzi wa kutoa kero zangu na kuuelimisha Umma wa wapenda soka Nchini naomba nipate mawazo tu kwa unavyotambua wewe hapo ni kweli mashabiki wa mpira wanafanana kote...
2 Reactions
19 Replies
865 Views
Ingekuwa poa sana kama mngefuatilia mwenendo wake. Maana katika michezo 19 ya Ligi yao pale Kenya mpaka sasa, tayari ameshatupia goli 19!! What a striker katika umri wake huo wa miaka 21 tu...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Bila kupepesa macho hii ndio yop four ya nbc premier league ikatavyo kuwa. Simba Azam Singida Geita
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Timu ya Taifa baada ya kuchukua kombe la Challenge, Syllersaid Salimin Kahema Kangero MZIRAY aka Super Coach akiwa Kocha. ilikuwa 1994 sina hakika na mwaka. Rest in Peace SillaMziray, toto la...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Mshambuliaji wa @yangasc1935 Fiston Mayele ameushukuru uongozi wa timu hiyo pamoja na benchi la ufundi kwa kumuamini na kumpa nafasi ya kudhihirisha kipaji alichokuwa nacho. Kinara huyo wa mabao...
9 Reactions
16 Replies
1K Views
"Sisi ndio tutakuwa timu ya Kwanza kutoka kwenye ardhi ya Tanzania kulileta Kombe la CAF nchini Inshallah, Jumapili tukifanikiwa kutinga Robo fainali nina Imani tutavuka na kwenda Nusu fainali ...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Morocco ikifanikiwa katika mchakato huo wa Kombe la Dunia 2030 itakuwa Nchi ya pili kwa Afrika kuandaa michuano hiyo baada ya Afrika Kusini Mwaka 2010. Hiyo ni mara ya 6 kwa Morocco kuomba kuwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom