Simba anacheza na Horoya ambayo inakuja kutafuta draw kwa Mkapa, kwa forward za Simba zilivyo, Horoya ana uwezekano wa 80% ambao ni mkubwa sana wa kupata draw
Mechi ya mwisho anacheza nyumbani...
Daikka hizi za mwanzo kabisa zinanifanya niamini hawa Horoya hawawezi kushinda hii mechi zaidi ya kupoteza tena kwa kufungwa magoli mawili na kuendelea
Makolo hii mechi ni yenu unless Horoya...
Inasemekana kuwa Shabiki ni mchezaji 12 wa timu wakati wa mechi, hivyo Ally Kamwe na Ahmed Ally wasemaji wa Yanga na Simba wanafanya kila jitihada ya kuwataka wanachama na mashabiki wa timu hizo...
Je unafahamu mtu aliyejulikana kama mvunja taya? Kama unamfahamu, hebu elezea alikuwa mtu wa namna gani, kama humfahamu, basi tembelea uzi huu tena siku zijazo.
Nilianzisha hii thread jana...
Nisiulizwe kwanini na nini, na vyura mkae kimya! Ila kisasi sasa rasmi kinaenda kulipwa huko kwa akina Raja huko Casa Blankaketi , kwenye boxing tunasema unaweza fumaniwa za Chemba kidevu ila...
Kwa Mkapa hatoki mtu!!
Hii ni kauli mbiu maarufu kwa mashabiki wa Simba Sports Club linapokuja suala la mechi za Kimataifa za CAF. Kwa kauli hiyo ashakufa Al Ahly, Orlando Pirates, As Vita...
Habarini wanajukwaa.
Nianze kwa kusema Mimi ni Muumini mzuri kabisa wa Historia na napenda sana Historia..na katika mpira Historia ni moja ya kitu kinaamua sana Matokeo angalia mfano Manchester...
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Tabia Maulid Mwita (katikati waliosimama) akishuhudia utiaji saini wa mkataba wa ushirikiano wa kibiashara na...
Kuna heka heka kikao kinaendelea kwa ajili ya serikali kutangaza siku 7 za mapumziko kwa taifa kwa ajili ya kusherehekea ushindi wa magoli 7 ya simba.
Ushindi huo ni historia na haijawahi kutokea...
Naamini mechi ya kesho itakuwa na ushindani mkubwa kutokana na ubora wa timu zote mbili na Yanga asipokuwa makini, anaweza hata kupoteza hiyo mechi.
Hata hivyo, Yanga akishinda kesho dhidi ya...
Nafuatilia mechi zote za CAF Champions League naona kabisa huyu mwarabu mweusi wa Sudan anajua anachokifanya, naona game ya leo itaisha kwa kunyanyusha hawa Cotton Sports.
Tukutane robo fainali...
Mimi ni Mwanayanga kindakindaki ila hii kasi ya Simba kumfunga Horoya huku kila hili lilies sawa na milioni 5 wasije kusababisha mishahara ya mwezi huu ikachelewa. Simba punguzeni speed msije...
Nawalaumu mno FIFA kwa Kuamua hivi kwani kwa Waafrika tunavyojijua na tunavyojuana pamoja na Kuingiza Timu (Nchi) Kumi (10) kutoka Bara la Afrika bado tutatoka tu Kapa / Peupe.
Kwangu Mimi...
Nyota wa klabu ya Simba Sports, Pape Ousmane Sakho ameitwa kwenye kikosi cha wachezaji 24 cha timu ya Taifa ya Senegal chini ya Kocha Mkuu Aliou Cisse kwa ajili ya mechi mbili za kufuzu AFCON 2023...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.