Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kama nilivyo jieleza hapo juu, nawezaje kuwapata hawa watu? Nimesoma ngumi zao, nikaona hata mimi naweza kumbe! Nahitaji kuwafumua hawa watu, nipeni connection ya kuingia katika huu mchezo...
3 Reactions
5 Replies
571 Views
Kilichowapata leo Horoya kimewastaili kuwapata. Hawakuiheshimu Simba hata kidogo kwanzia kiakili na kifikra hadi kimbinu. Rais wao anaongea wazi wazi dharau, hata kama ilikuwa ni jambo lenye...
6 Reactions
3 Replies
484 Views
Wachambuzi wale wa kibongo karibia radio stations zoooote naona wanaisodoa sana Simba na kuwapa nafasi kubwa Yanga ya kufuzu nusu fainali. Wachagoat hawa wanatumia misamiati mingi sana na kucheza...
4 Reactions
4 Replies
697 Views
Sheikh Jassim bin Hamad Al Thani wa Qatar na Sir Jim Ratcliffe wa Uingereza ndio wawekezaji walioweka dau rasmi kwa lengo la kuichukua klabu kutoka kwa wamiliki wa sasa Familia ya Glazer ambao...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Salaam Wana jf Kama wahenga walivyosema kuwa usiku wa deni haukawii kukucha basi ndicho kinachotokea baada ya ndugu zetu kuomba siku zisiende ili siku ya mechi isifike hatimaye muda umefika...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Habarini wana michezo. Moja KWA Moja naomba kupata ufafanuzi juu ya upangwaji wa Timu mwenyeji katika mashindano ya Azam Confederation cup hatua ya robo fainali na hatua za nyuma yake kama hatua...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Huyu kambole alidhihakiwa sana hasa na ndugu zetu wa Simba wakiongozwa na wachambuzi uchwara km Jemedari Said.. Wakaenda mbali zaidi paka kumuita msukule.. Sasa Leo hii ndio mshambuliaji tegemeo...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Wanachokifanya Mamelodi leo hata wanavyocheza ni wazi kabisa wanataka kuipa Matokea mazuri Al Hilal. Goli la kwanza la Mamelodi ni la bahati mbaya tu lakini wakaamua kuwazawadia wasuda goli la...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Kocha wa timu ya taifa Taifa Stars, Adel Mrouche amepewa nafasi ya kuchagua wataalamu 4 atakaoambatana nao kwenye timu ya taifa kama sehemu ya benchi lake la ufundi, Kocha huyo amependekeza jina...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
GENTAMYCINE nitafurahi mno nikiwaona wana Simba SC Wenzangu wa hapa JamiiForums. Nitakuwa nimekaa na Wachezaji Wastaafu ( wa zamani ) wa Simba SC ambao Fainali ya 1993 Uhuru Stadium mbele ya Rais...
2 Reactions
5 Replies
548 Views
Wadau hamjamboni nyote Mheshimiwa Rais wa Rwanda Paul Kagame akicheza Soka ndani ya uwanja mpya wa Soka wa “KIGALI PÉLE STADIUM”
16 Reactions
74 Replies
5K Views
Hawa ndio makinda wanaotabiriwa kufanya makubwa mbeleni 1. CYPRIAN KACHWELE Amezaliwa November 2007 ana miaka 15 ni mshambuliaji aliyekulia kwenye academy ya Azam na anayefanya vizuri kwenye...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Simba kesho wanatupa karata muhimu itwayo Do or Die dhidi ya Horoya ya Guinea ambao nao wanajua kabisa kesho kwao ni final, Horoya ambao kusema kweli kama sio uzembe wetu Simba kwenye mchezo wa...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wana jamvi, Baada ya call up ya squad ya kikosi cha lions of Teranga, Senegal,imeifanya nikumbuke maneno ya mtangazaji anayejiona ni mkongwe kwaiyo anajua kila kitu. Huyu bwana mwaka...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Kama kuna jambo limevuruga ustawi wa Simba msimu huu ilikuwa ni majeraha ya Moses Phiri. Ilichukua muda Simba kujijenga bila uwepo wake ukichukulia tayari alikuwa tegemeo la kwanza katika timu...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Aisee hatuitaji ubishani kwa sasa Africa hakuna number 9 kumzidi Peter Shalulile Huyu MNAMIBIA anajua kufunga sana kwakweli, Number 9 natural huyu anafunga kila aina ya magoli Ananikumbusha...
10 Reactions
64 Replies
5K Views
Siujui mpira vizuri na betting za mpira sizijui vizuri ila naona wanapigwa tu kila siku. Mtu anachakazwa wiki tatu anapewa siku moja elfu 50 basi hiyo siku mpaka mkewe atajua kuwa baba kapiga...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Team zetu kubwa mbili zinashuka dimbani weekend hii. Naweza kusema tu team yenye jina la mnyama ambayo ndio itaanza kucheza inaenda kupata matokeo mazuri ila mchezo hautakuwa na zaidi ya goli 1...
28 Reactions
79 Replies
9K Views
Yanga wanahaha kusaka ushindi j2 dhidi ya mwarabu, mara wametoa damu, mara wamesaidia yatima, mara wamekusanya watoto na kuwapa zawadi baada ya kuwauliza maswali hiyo yote ni kutapatapa tu...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Tusijenge tabia ya kupeana sifa za kij8nga ambazo hazina msaada wowote kukuza timu.kusifia viongozi mchana kutwa usiku kucha.tujenge timu ki mbinu,kiufundi na kwa stamina,tujenge viwanja,tuwekeze...
4 Reactions
7 Replies
393 Views
Back
Top Bottom