Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

"Mchezaji Gift Fred hajaitwa katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) na Wachezaji Wote walioitwa tumewataja na wanajulikana" amesema Afisa wa Shirikisho la Soka nchini Uganda (FUFA)...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Timu ya mpira wa miguu ya Simba leo tarehe 05/09/2023 imeendelea na kucheza mechi za kirafiki za ndani kwa ajili ya mazoezi ambapo imecheza na timu ya Cosmopolitan. Simba imepata goli 5 dhidi ya...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Wasalaaa.. Nitoe wito kwa uongozi wa klabu yangu ya Simba uwekeze nguvu zake kwa ajili ya Kombe la Mapinduzi maana ndio tunaweza kulichukua kwani kwenye hii michuano timu nyingi zinapeleka vikosi...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
ANAITWA Peter Banda alipewa ‘Thank you’ yake ndani ya klabu ya Simba. Inanikumbusha namna alivyoingia nchini kwa mbwembwe akipewa jina la ‘Wonder Kid’. Kwamba ni kijana mdogo mwenye maajabu...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
GENTAMYCINE nilipoonya hapa kuwa Viongozi wa hivi Vilabu Viwili Vikubwa wawaambie Wachezaji Wazawa waache Kuwaroga ( Kuwapiga Pini ) Wenzao wa Kigeni kwani Wanavigharimu hivyo Vilabu sikueleweka...
9 Reactions
42 Replies
3K Views
Kocha wa Timu ya Taifa ya Congo DR simwelewi yaani kamuita Beki aliyekuwa Majeruhi Henock Inonga wa Simba SC inayoshiriki Kombe jipya na lenye UTAJIRI mkubwa unaoshirikisha Vilabu Bora na Vikubwa...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Leo nime kutana na hii app Ina muvi ZILIZO TAFSIRIWA pia inaonesha mechi live nawewe unaweza kuijaribu, App IPO playstore link yake hii hapa ibofye kuipakua [emoji117][emoji117]Nijuze Tv - Mpira -...
0 Reactions
0 Replies
522 Views
Mara kadhaa niliwahi kuahidi kuleta uzi unaohusiana na mada hii, leo nimetulia kidogo nimeukumbuka. Ngoja nitiririke. Kuna hii kasumba iliyojengeka kwenye mpira kudhani kuwa mchezaji yoyote hasa...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Ninazo taarifa kuwa wachezaji wetu wamefungwa miguu wawe wazito ili tuondoshwe kwenye ligi ya mabingwa wabaki wao, am telling the truth, don't take if for granted.Tupambane ikiwezekana gemu...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Tokea Alhamisi iliyopita (ila najua baada ya Kuumbuka kwa leo wamefanya Editing) Kurasa halisi (Official Page) ya Yanga SC na zile za Mashabiki wake Wapuuzi Wapuuzi walitutangazia kuwa Mchezaji wa...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Ni aibu kwa Watanzania mechi kama Simba na Power Dyanamos na Yanga na El Merreck zote zinapigwa kwenye nchi Jirani border to border kama viongozi wanashindwa kuwaandaa mashabiki wa timu hizi...
17 Reactions
23 Replies
3K Views
Huyu binti anaitwa Miche Minnies ana miaka 13 na ni mchezaji wa timu ya wanawake ya Mamelodi Sundowns ya Africa Kusini. Miche Minnies anavuma mtandaoni kwa ufanano wake na gwiji wa Brazil...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Pale Mtibwa Sugar, kuna nahodha kiongozi Shaban Nditi. Amecheza soka la kiwango cha juu kwa muda mrefu bila kuchuja. Amedumu sana kwenye soka la ushindani hapa Bongo. Ukifika kwenye kikosi cha...
1 Reactions
228 Replies
40K Views
Match imemalizika muda mchache uliopita Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam kwa Prisons ya Mbeya kuifunga Kipanga ya Nchini Zanzibar kwa goli 5 kwa 2.
3 Reactions
7 Replies
628 Views
Mechi ya Kirafiki FT: SIMBA SC 3-0 KIPANGA 21’—[emoji460]️ Phiri 41’—[emoji460]️ Miquissone 70’—[emoji460]️ Kramo (freekick) SIMBA kikosi X1: Ally (Lakred), Kapombe (Duchu), Zimbwe Jr (Israel)...
7 Reactions
66 Replies
5K Views
Mashabiki wengi wa simba wanafikiri yanga ya zamani ndo yasasa Zamani walizoea kuona yanga akishindwa kuingia makundi ya club bingwa na wakati mwingine ya shirikisho Niliwahi kusema kuwa siku...
14 Reactions
23 Replies
2K Views
We should all calm down and support Simba . Watuwakilishe vyema . Super league ni Kama trial . Bonanza la famous African teams . Na 5 billions ni winners money. A senior FIFA official...
4 Reactions
49 Replies
5K Views
Azam Media na Shirikisho la Soka Kenya waingia mkataba wa haki ya matangazo kuonesha ligi ya Kenya wenye thamani ya Shilingi za Tanzania Bilioni 23, kwa muda wa miaka saba. Hii ni hatua njema kwa...
10 Reactions
37 Replies
5K Views
Kiukweli ana uwasilishaji mbovu mno. Anarudia rudia kitu kimoja hata mara tano. Halafu na wao huwa sioni uhimu wa yeye kutoa taarifa tena maana ni kama tu anarudia kile ambacho wakina Lwambano...
0 Reactions
1 Replies
599 Views
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma Septemba 3, 2023 Jijini Dar Es Salaam amefungua mashindano ya mchezo wa rede (Gwajima Rede cup) katika jimbo la Kawe. Akizungumza wakati...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom