utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 536
- 1,357
Wasalaaa..
Nitoe wito kwa uongozi wa klabu yangu ya Simba uwekeze nguvu zake kwa ajili ya Kombe la Mapinduzi maana ndio tunaweza kulichukua kwani kwenye hii michuano timu nyingi zinapeleka vikosi vya pili.
Michuano ya Caf Super League tayari tumeshatolewa hata kabla ya kucheza iyo mechi na Al ahy.
Hatua ya kwanza Caf Champions League naona dalili zote za kutolewa na Power Dinamos na endapo tukifanikiwa kuingia makundi naona dalili zote tutaburuza mkia.
Ligi ya NBC tayari bingwa ameshajulikana na Azam Confederation cup bingwa tayari ameshajulikana.
Tusije kulaumiana huko mbeleni.
Simba gufu moya