Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mapema leo, Kamati ya Utendaji ya Yanga chini ya Rais Eng. Hersi Said wamekutana kwenye kikao maalumu cha utendaji kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano Serena Hotel, Jijini Dar Es Salaam...
11 Reactions
48 Replies
3K Views
Probability of winning the 2023/24 CAF Champions League according to Africa Soccer Zone.👀🏆 Mamelodi.,........24% Al ahly........20% esperence ....14% Petro atletico 12% Young Africans .....10 %...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
... 🚯 𝙃𝙊𝙅𝘼 𝙕𝘼 𝙆𝙄𝙅𝙄𝙉𝙂𝘼 𝙆𝘼𝘽𝙄𝙎𝘼 Baada ya Simba SC kupoteza dhidi ya Prisons (1-2) na kushinda kwa mbinde (1-2) dhidi ya Coastal, imeibuliwa hoja DHAIFU sana na baadhi ya Maashabiki maarufu wa Simba...
16 Reactions
23 Replies
3K Views
Baada ya kuona dozi nzito zinatolewa na wananchi ...de Yanga Kwa timu pinzani nimeona nifanye research kidogo Kwa kuwashirikisha ndugu zangu humu Tujikumbushe...hizi ndizo baadhi ya timu...
2 Reactions
12 Replies
914 Views
Mwanariadha wa Kimataifa, Staff Sergeant (SSgt) Jackline Juma Sakilu wa JWTZ, amechaguliwa kuwa Mwanamichezo Bora wa Tanzania kwa mwezi Februari , 2024 katika tuzo zinazotolewa na chama Cha...
0 Reactions
1 Replies
459 Views
Nimesikia Kuna mashabiki wakitamba kuwa Al ahly atapigwa goli 3 bila wengine wanaropoka kuwa "mwarabu atapigwa sita maana kwamkapa hatoki mtu" Kwa mtu timamu mwenye akili timamu na weledi wa...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Nimeiona barua ya Azam FC kwa vyombo vya habari. Kiufupi barua imekaa ki-unproffesional kinoma yaani. Kwanza kabisa kama klabu imepokea offer kutoka vilabu viwili tofauti kwanini Klabu ingoje...
14 Reactions
45 Replies
4K Views
Ligi yetu inakua ila baadhi ya wachezaji na mashabiki bado Wana fikra za kipuuzi na za kizamani. Ni upuuzi kwenye ligi kuu ya nchi kuwa na wachezaji wanaoamini goli halipatikani sababu ya taulo...
0 Reactions
9 Replies
640 Views
Wakati mechi ikiwa imekolea Makolo wakiendelea kupelekewa moto na mashujaa Jana. ...... Shabiki aliyekuwa amevaa jezi ya kolo fc then Baada ya kurukia uwanjani akaivua na kubakizwa na singlend (...
7 Reactions
75 Replies
3K Views
Hii ndo kauli rasmi ya serikali yetu tukufu kuelekea Mechi za robo fainali CAFCL ili kuzivusha Simba na Yanga zitakapokutana na Ahly na Mamelody uwanja wa Mkapa March 29&30, 2024. Hongera serikali...
8 Reactions
71 Replies
4K Views
Patashika ya ligi kuu kuendelea leo, kwa kukutanisha wekundu wa Msimbazi dhidi ya wazee wa Mapigo na Mwendo baada ya futari. Muda ni saa mbili na robo usiku, Azam complex Kikosi Game ishaanza...
5 Reactions
399 Replies
21K Views
Taarifa hizi ni kwa mujibu wa kipindi cha michezo cha global TV kinachoitwa kross dongo. Inasemekana jina lake lilikuwepo kwenye orodha ya wachezaji waliopendekezwa na scout ya simba mwishoni mwa...
5 Reactions
8 Replies
728 Views
Nimeangali clip za magoli mawili ya Yanga yalioyofungwa na Pacome na lile la Azizi k nimegundua yametokana na udhaifu unaofanana lakini hii inaweza kuwa ndio mbinu ya Yanga ya kimchezo...
6 Reactions
35 Replies
5K Views
Huyu jamaa anayejiita Kazumari ni nani katika mpira wetu? Mbona naona Tff wanamhusudu sana. Upande wangu namwona ni kati ya watu wanaoharibu mpira wa nchi hii mosi jamaa ameshindwa kuficha chuki...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Mwina Seif Kaduguda, a socio- scientist cum Journalist anaijua Simba nje na ndani hivyo haiitaji saana kumuelezea. Leo akiongea na Wasaf Fm huku akichagizwa na Mnazi wa Yanga Maulid Kitenge...
1 Reactions
3 Replies
951 Views
Nimekuta watu wanacheza draft na wanabishana kuwa hilo ni supa.Nikaamua kupiga picha hiyo niwaulize je hili ni supa au sio supa? ZAMU YA MWENYE NYEKUNDU
6 Reactions
171 Replies
22K Views
Sijui kwanini timu za mkoani zinapenda sana kutoka sare! Yaani neno ushindi kwao ni msamiati ambao haujazoeleka Hebu angalia mfano mechi ya jana ya yanga dhidi ya geita! Yanga form ilikuwa ipo...
7 Reactions
28 Replies
1K Views
Mwina Seif Kaduguda, a socio- scientist cum Journalist anaijua Simba nje na ndani hivyo haiitaji saana kumuelezea. Leo akiongea na Wasaf Fm huku akichagizwa na Mnazi wa Yanga Maulid Kitenge...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wawakilishi wa Tanzania katika mashindano ya CAF champions league Simba na Yanga, watakuwa na kibarua kigumu cha kumeenyana na miamba ya soka la Africa. Simba watatangulia kucheza siku ya Ijumaa...
11 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom