Hapa serikali imefikiri mpaka mwisho, imekuja na dawa ya kuzivusha Simba na Yanga

Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
21,496
37,789
Hii ndo kauli rasmi ya serikali yetu tukufu kuelekea Mechi za robo fainali CAFCL ili kuzivusha Simba na Yanga zitakapokutana na Ahly na Mamelody uwanja wa Mkapa March 29&30, 2024. Hongera serikali Kwa tamko hili lenye suluhu na uzalendo.
Screenshot_2024-03-14-11-26-43-638_com.twitter.android.jpg
 
Simba ndio waanzilishi wa kuvaa jezi za wageni waapokuja kucheza nchini.
Nakumbuka mwaka 2016 wakati Yanga wanacheza mechi ya ligi siku chache kabla ya kuwavaa Mazembe katika mechi za makundi ya Caf Confederation cup.

Katika jukwaa la Mashabiki wa Simba baadhi walikua wamevaa jezi za TP Mazembe.
Nazungumzia 2016 Wakati Jemedari Saidi bado anapiga Salfa kwenye mikorosho uko kwao.
Maana amaekua akizungumza vitu vingi asivyo vifahamu katika soka la bongo kwa kuhadithiwa na yeye kuvirusha hewani.
 
Jezi hatuvaii lakini sisi simba tutashangilia mamelod ,,


Hii sio inchi ya utumwa huwezi kumpangia mtu timu anayopenda..au kuishabikia.

Mihemko yenu NYUMA MWIKO FC msitake kuchonganisha wanainchi na serikali.

Mlianza nyie na sisi tunamaliza
 
Back
Top Bottom