Shabiki maarufu wa Klabu ya Simba, K-Mziwanda amesema hakuna tukio lililomuumiza kama la Oktoba 29, 2025 kwani alipoteza marafiki (washkaji) wengi anaowafahamu
"Kuna tukio jingine... sasa hili ni...
Taarifa kamili hii hapa
---------------------
Union Berlin imemtangaza Marie-Louise Eta kuwa kocha wao mpya wa muda (interim coach) baada ya kumfuta kazi aliyekuwa kocha wao, Steffen Baumgart...
Patashika nguo kuchanika inatarajiwa leo wakati Chelsea FC watakapowakaribisha Manchester City katika dimba la Stamford Bridge, kwenye mchezo wa kusisimua wa English Premier League
Chelsea...
Mashindano ya Ligi ya Muungano ya Mpira wa Miguu yanatarajiwa kuanza Aprili 21 hadi 29, 2026 katika Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar,
Timu nane zitashiriki mashindano hayo, ambapo kwa upande...
Nimepata funzo kubwa kwenye maisha, huwezi amini huyu ni rafiki yangu, kiasi hatuwezi pishana bila kusalimiana.
According to Micky jr, mtu WA michezo kadai kaka yangu kachaguliwa kuchezesha kombe...
Kwenye mechi inayoendelea sasa kati ya Dodoma Jiji na Simba Sc ikiwa simba hatopata goli na kufuzu kwenye haya mashindano nitatangaza rasmi kuachana na masuala ya mipira ikiwa ni kufatilia matokeo...
Emmanuel Mwayombo,a.k.a mpekeo mtandala,mwandishi wa majini,kawaumbua simba.Anasema ameongea na timu inayommiliki eno loemba ya cameroun inadai fedha za kuuzwa kwa loemba,na deadline imepita simba...
Arsenal, ambao ni vinara wa Ligi Kuu England (EPL), wamepoteza mchezo huo kwa mabao 2-1 dhidi ya Bournemouth katika dimba la Emirates. Matokeo hayo yanaifanya Arsenal kubaki na alama 70 baada ya...
Tayari Mo Dewji amepeleka mapendekezo kwenye bodi ya udhamini kutaka kujenga uwanja kwe uwanja wa Bunju. Simba imepata katiba mpya ambayo inataka mchakato wa uwekezaji uanze upya baada ya logo ya...
Hii tabia imekuwepo muda mrefu sana, kuna kipindi Mkude alikuwa akisifiwa sana wakati yeye alikuwa chanzo cha makosa mengi, walimsifia mpaka viongozi wakawa wanaogopa kumwacha kwa kuwaogopa...
Mechi ya kiporo ya TRA SC dhidi ya Simba SC inatarajiwa kupigwa jioni saa 10:00 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Stadium, ikiwa ni sehemu ya mashindano ya NBC Premier League, ambapo timu zote...
Kataeni kubalini Damaro si Mtanzania bali ni Raia wa Guinea. Acheni kufanya Propaganda za Kuwaaminisha Watu kuwa Damaro ni Mtanzania. Mlichokifanya Mwanza juzi ni Mkakati mliouratibu kwa Wiki kwa...
Wakati msafara wa timu ya Simba SC ukiingia uwanjani majira ya Saa 8:30 Mchana wa leo Aprili 9, 2026 kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kuna hali...
Taarifa zinazozunguka ndani ya Jiji la Mwanza na wadau wa soka mkoani Mwanza zinaibua maswali mazito kuhusu mwenendo wa uendeshaji wa timu ya Pamba Jiji FC, hususan katika eneo la matumizi ya...
Usiku wa leo, Aprili 8, burudani kutoka UEFA Champions League inaendelea 🔥
Mashabiki wa soka duniani wanasubiri kwa hamu mechi hizi kali:
FC Barcelona 🆚 Atlético Madrid
Paris Saint-Germain 🆚...