Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetupilia mbali shauri la klabu ya Simba lililokuwa likipinga uhalali wa usajili wa mchezaji Mohamed Damaro...
3 Reactions
15 Replies
707 Views
Zimekuwepo tabia za wazungu kuwabagaza wachezaji wenye asili ya Africa kutokana na wivu walionao tu na ubaguzi wa rangi Nakubali Lamine Yamal ni kijana mdogo japo ni star, Kwa umri wake laZima...
2 Reactions
52 Replies
2K Views
FCB , Bayern Munich , or FC Bayern , is a German professional sports club based in Munich , Bavaria. It is best known for its professional football team, which plays in the Bundesliga, the top...
9 Reactions
129 Replies
12K Views
Bila shaka Wanalunyasi mtakuwa mnatamani kupata kiongozi kijana ambaye ana maoni makubwa juu ya klabu yenu kama ambavyo Yanga wamewatesa misimu hii minne mfululizo baada ya Engineer Hersi Said...
2 Reactions
14 Replies
439 Views
Anonymous (8b17)
Kero yangu ni Kiwanja cha mpira kinachojengwa Kisiwani Pemba, Mkoa wa Kaskazini, Wilaya ya wete, Shehia ya Pandani. Yaani Kiwanja kipya lakini kinawekwa Nyasi kongwe (zimetolewa kiwanja...
0 Reactions
1 Replies
188 Views
  • Featured
Timu vigogo barani Ulaya Arsenal, Real Madrid na Liverpool ni miongoni mwa klabu zilizojua hatima yao baada ya droo ya hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kupangwa Ijumaa. Real Madrid...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Timu ya Taifa ya Tanzania 🇹🇿, Taifa Stars, inarejea dimbani leo katika mwendelezo wa FIFA Series 2026 baada ya kupoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Liechtenstein 🇱🇮. Leo wanakutana na Macau 🇲🇴 katika...
1 Reactions
5 Replies
412 Views
Shabiki wa soka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Michel Kuka Mboladinga, anayejulikana sana kama Lumumba Vea, amewaambia wafuasi wake kuwa hataweza kusafiri kwenda Mexico kuiunga mkono timu ya...
1 Reactions
0 Replies
310 Views
Jamaa anatangaza bolu dakika tano, dakika 40 anasimulia mambo ambayo hayana hata umuhimu, kipindi kinakuwa kimeisha anaboa sana. “ametokea stade malieee akiwa MVP, akaenda kwenye kikosi cha kocha...
10 Reactions
28 Replies
875 Views
Kuna mchezaji tangu kaenda timu nyingine anajitutumua kuliko alipokuwa kwetu
3 Reactions
29 Replies
1K Views
andiko hili limedadavuliwa kutoka kwenye andiko cha mchambuzi nguli wa michezo Tanzania ORUMA Simba SC wanaandaa barua rasmi kwa TFF (Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania) kupinga uhalali wa...
7 Reactions
81 Replies
3K Views
Nina kijana wangu anapenda mambo ya mpira sasa nimeunganishwa na hii football academy ya Tigana Kawe Dar.Ila sikuwai kuisikia hapo mwanzo. Kwa wazoefu Je n ya kuaminika?
3 Reactions
13 Replies
294 Views
Huyu kocha hana uwezo wowote n.a. alifeli vibaya Juventus Haifahamiki anatuma fomesheni gani, Ni kocha duni Ambaye hawezi purukushani za EPL Naihurumia sana Spurs
8 Reactions
61 Replies
1K Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema Tanzania imejipanga kikamilifu kuelekea mashindano ya AFCON 2027, akieleza kuwa si ushiriki tu bali pia itachukua ubingwa wa...
1 Reactions
36 Replies
561 Views
Wachezaji tisa wa Arsenal sasa wamejiondoa kwenye majukumu ya timu zao za taifa. Orodha hiyo inajumuisha William Saliba, Gabriel Magalhães, Leandro Trossard, Jurriën Timber, pamoja na Eberechi...
0 Reactions
4 Replies
468 Views
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF), limetoa orodha ya Waamuzi wa Afrika na Maafisa wa VAR waliochaguliwa kuchezesha Kombe la Dunia la FIFA 2026, huku maafisa kadhaa wenye uzoefu wakipata fursa...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, itashuka dimbani Machi 26, 2026 Saa 11:30 Jioni kuivaa Liechtenstein katika michuano ya FIFA Series inayoendelea Kigali, Rwanda ikiwa ni sehemu ya...
3 Reactions
43 Replies
1K Views
Licha ya Zanzibar (Tanzania) na Catalonia (Uhispania) kuomba sana uwana chama FIFA zimekataliwa kabisa. Cha kushangaza FIFA imewapa membership Nothern Ireland, Wales, Scotland (UK), Greenland na...
2 Reactions
4 Replies
258 Views
Masaa 72 ya Ulaya na masaa 72 ya Tanzania ni tofauti kabisa. Think globally Act locally. Masaa 72 ya kucheza baina ya mechi yamezingatia vitu mbalimbali ambavyo Tanzania havipo. Baadhi ya vitu...
7 Reactions
19 Replies
474 Views
Back
Top Bottom