Nilikuwa naangalia mechi ya Connecticut leo, bahati mbaya wamefungwa 70 kwa 69. Mtanzania mwenzetu Hashim anaweza kupata kishawishi cha kwenda NBA. Kusema kweli mwaka huu ameimprove sana katika...
Amekosa mbinu za ushindi, Yanga haikabi wala haina kasi kama zamani Nashauri atafutwe Kocha mwingine haraka i ukweli hana uwezo kuivusha timu na ni Muda muafaka aachwe
Nakumbuka miaka ya 2008-2009 Hashim Thabit Akiwa bado ana umri mdogo, alionekana kitaifa baada ya kufikisha wastani wa alama 13.6 na alama 10.8 ya mipira ya kurudisha.
Alianza kujikita zaidi...
For the love of football kila siku ntakuwa natoa link za game za mpira wa miguu stream ni 4K tu kwa wenye Bandwith kubwa au Fiber
March 18 Uefa champions league
Liver Vs Galatasaray live
atalanta...
Taarifa zinasema kuwa Senegal 🇸🇳 imehamisha kombe la AFCON hadi kwenye kambi yake ya kijeshi, ambapo sasa limewekwa katikati ya kambi hiyo. Inadaiwa kuwa CAF pamoja na Morocco watalazimika kwenda...
Mambo ni mengi muda hautoshi. Twende kwenye orodha moja kwa moja bila kupoteza muda.
1. FILBERT BAYI
Mzee wetu kaongelewa kwenye makala mengi mno duniani kiasi kwamba shirikisho la ridha duniani...
Senegal imekataa kukabidhi kombe na medali za AFCON 2025.
Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) limesema kuwa kombe hilo “halitatoka nchini” na lina mpango wa kupinga uamuzi wa CAF.
Maafisa wa...
Wakati Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa mstari wa mbele kuhamasisha na kukuza Michezo Tanzania ukiwemo wa riadha ,
ila kuna Vizee vilivyopo kwenye Kamati ya Olimpiki Tanzania (Tanzania...
Baadhi ya wanariadha wakubwa wa Tanzania wasusia mashindano ya karatu festivals yanayoandaliwa na kamati ya olimipiki Tanzania (TOC) ikiwa ni baada ya makamu wa rais wa TOC Henry Tandau kumkata...
Kutoka kushoto ni Suleiman Nyambui, Luis Posso(Posso International Promotions) , Mao Hando , Zakarie Barie , Yuich Isaka (Asics) na Mwanariadha Gabriel Gerald Geay.
Kampuni ya Posso...
Morocco imethibitisha kuwa iko tayari kikamilifu kuandaa Kombe lijalo la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON 2026). Baada ya kutokuwa na uhakika wa awali na mabadiliko ya ratiba hadi Julai...
KUMEANZA KUCHANGAMKA HUKO
Achraf Hakimi baada ya CAF kutoa uamuzi wa kuwapa Morocco ubingwa wa AFCON 2025 baada ya kuwanyima Senegal taji kwa sababu ya Sababu za Kugomea Mchezo.
🗣Kwa kweli...
Hivi ni kwamba Polisi wanataka kuhalalisha matumizi ya mabomu ya mchozi viwanjani? kwamba kulikuwa na tukio hatari la kushindwa kuwadhibiti mashabiki mpaka mtumie nguvu kiasi hicho hadi kupiga...
Hatua ya robo fainali ya Uefa Champions League kuanza kuchezwa tarehe 7 na 8 mwezi wa 4 kwa hatua ya kwanza na mechi za marudiano zitachezwa tarehe 14 na 15 mwezi wa 4.
Hivi ndivyo mechi...
Kuhusu ubingwa wa Senegal AFCON, Raymond Hack alieleza msimamo wake kwa mtazamo wa kikanuni na haki ya matokeo ya uwanjani:
Alisisitiza kuwa matokeo ya uwanjani yanapaswa kuheshimiwa, hivyo kama...
Unguja. Timu ya Kwahani FC imetwaa ubingwa wa Masauni Cup baada ya kuichapa Mwembeladu FC kwa changamoto ya mikwaju ya penati 1-0 baada ya sare ya bao 1-1 katika muda wa kawaida na kujinyakulia...
Soka la Afrika bado linakumbwa na changamoto za ukosefu wa imani na maswali kuhusu uadilifu wake, amesema rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe, Jumatano, baada ya Senegal...
Patrice Motsepe, President of the Confederation of African Football, has defended the decision to strip Senegal of the AFCON title following their walkout during the final.
The incident has...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.