Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,410
- 3,548
Kuna wachezaji wabovu hasa wa kigeni waliwahi kusajiliwa kwa mbwembwe na timu za Simba na Yanga ila wakaishia kuondoka nchini kimya kimya kutokana na uwezo wao mdogo hata kufikia kushindwa kiuwezo na wachezaji wenyeji.
Tujikumbushe sajili mbovu kuwahi kufanywa na vilabu vya Simba na Yanga.
Tujikumbushe sajili mbovu kuwahi kufanywa na vilabu vya Simba na Yanga.