Mkuu, si ulisema maswala ya mpira haufatilii? Imekuwaje tena kwa manjestaHahahahah hakuna kenge analeta mdomo sisi ndio manjesta bhna😅😅
Nishawaza na natamani huyu kocha apewe timu ya taifa ya England, ana kitu kikubwa anaweza kuileta world cupMichael Carrick has beaten all of these big clubs in the Premier League!
▫️Manchester City
▫️Arsenal
▫️Liverpool
▫️Chelsea
😂😂😂
Who's next?
Nilisema wapi?Mkuu, si ulisema maswala ya mpira haufatilii? Imekuwaje tena kwa manjesta
Kuna siku nimeandika uzi kuhusu kuachana na masuala ya Simba Sc ulikomenti pale kuwa niachane na masuala ya mpira ninywe bia tu kama weweNilisema wapi?
Hapa niuzi wa simba?Kuna siku nimeandika uzi kuhusu kuachana na masuala ya Simba Sc ulikomenti pale kuwa niachane na masuala ya mpira ninywe bia tu kama wewe
Ungejibu swali nililokuuliza sasa kama umenielewa mantiki yanguHapa niuzi wa simba?
I'm afraid if I tell you I can kill you.Michael Carrick has beaten all of these big clubs in the Premier League!
▫️Manchester City
▫️Arsenal
▫️Liverpool
▫️Chelsea
😂😂😂
Who's next?
Mimi si mnyama kwani haujui ?
Aloo! Ndo nimejua leo bana😄😄Mimi si mnyama kwani haujui ?
Aloo! Ndo nimejua leo bana😄😄
Nina shida na mama yako mzazi."Aloo!"......"bana😄😄...."
Mtoto Sidhani Kama Wakiume,,Unaandikaje Na Kutumia Maneno Hayo Na Cheko Juu....
Tueleze Tu,,Una Shida Gani...??
Punguza Hulka Bwana Mdogo,,....Si Nzuri Kwa Afya Yako....Ya Mwili,,Nafsi,,Na Akili....Na Ukiendelea Hivyo Pia,,Utadhoofisha Afya Yako Ya Mifupa Damu Na Nyama....Nina shida na mama yako mzazi.