Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Leverkusen na Real Madrid, Xabi Alonso, kwa ajili ya uwezekano wa kumteua msimu huu wa kiangazi, huku uongozi wa klabu hiyo ukitarajiwa kufanya maamuzi magumu kuhusu mustakabali wa Arne Slot...
2 Reactions
1 Replies
344 Views
Baada ya mjadala kuwa mkali mtandaoni kuhusu ahadi ya serikali kwa timu hizo kugeuka hewa, Msigwa amekuja kutoa ufafanuzi, kuwa wanazifanyia kazi na mchakato unaendelea, huku kwa Tanzanite Queens...
0 Reactions
14 Replies
344 Views
Habari za mida hii wadau wote wa Jamii Forum hasa wapenda Mpira kama mimi. Katika pita pita zangu nimekutana na App safi kabisa inarusha mechi zote za Kombe la Dunia pia na Mechi za Bongo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
🇵🇹 PORTUGAL NATIONAL TEAM Portugal ni moja ya mataifa yaliyobadilika sana kwenye historia ya soka duniani. Kutoka taifa lililokuwa halipewi nafasi kubwa, mpaka kuwa moja ya nguvu kubwa Ulaya na...
1 Reactions
7 Replies
259 Views
Kinda wa Kitanzania Barka Seif Mpanda amejiunga rasmi na academy ya klabu ya Fc Barcelona ya nchini Hispania akitokea Fc Damm ya nchini humo Kiwango bora alchokionesha akiwa fc Damm ambapo kwa...
10 Reactions
20 Replies
502 Views
Hatimaye , nimeacha chuo kwa sababu ya AVIATOR. Kwa wale wote walioruhusu mchezo huu nchini, endeleeni kubarikiwa!!.
4 Reactions
13 Replies
291 Views
Watu tofauti wamelalamikia video za mapokezi ya timu ya taifa ya Senegal walipofika kwenye kiwanja cha ndege nchini Marekani, inasemekana walipekuliwa na kuhojiwa kupita kiasi, nahodha wa timu yao...
1 Reactions
4 Replies
248 Views
Je unawafahamu wachezaji wa mpira wa miguu waliowekeza Tanzania? Mimi naanza na hawa: 1.Bernad Morrisson Kajenga nyumba Dar na Mbeya 2.Aubrey Chirwa Huyu ana mashamba Kagera,Pwani na...
1 Reactions
9 Replies
335 Views
Choosing the right software provider is the single most important decision for long-term success. As an independent iGaming consultant with hands-on experience across both local and multinational...
1 Reactions
0 Replies
57 Views
Subject: Formal Complaint – Atletico de Utopolo’s Violation of FIFA Regulations To: Fédération Internationale de Football Association (FIFA) From: Chief Executive Officer, Wekundu wa Msimbazi...
1 Reactions
3 Replies
463 Views
Ukitazama mahojiano ya watu wa USA,CANADA juu ya miahuano hii wengi wanasifia tamaduni,vivutio vya mjii/miji yenye viwanja vitakavyotumika tu sio kuitangaza USA kiujumla ata CANADA mji wa vankuva...
1 Reactions
0 Replies
121 Views
Huu ndiyo wakati muafaka wa Ureno kubeba kombe la dunia. Ina vipaji lukuki na bado wanaye veteran CR7 wa kuwahamasisha ndani ya uwanja! Bila shaka haya yatakuwa mashindano ya mwisho CR7 kushiriki...
2 Reactions
3 Replies
162 Views
Mei 30, 2026, Arsenal ilipoteza fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Paris Saint-Germain (PSG) Kwenye Uwanja wa Puskás Aréna Jijini Budapest nchini Hungary. Ilipoteza kwa matuta 4-3 baada...
1 Reactions
2 Replies
151 Views
Photo courtesy of the BBC Danish midfielder and VFL Wolfsburg player Christian Eriksen , 34 has sparked global concern again after collapsing during an international friendly match between...
1 Reactions
3 Replies
300 Views
👉 Tarehe 30 Mei 2026 itabaki kuwa siku ya kukumbukwa kwa mashabiki wa Paris Saint-Germain baada ya kutwaa ubingwa wa UEFA Champions League kwa mara nyingine mbele ya Arsenal katika fainali...
4 Reactions
7 Replies
173 Views
Na Deus M Kibamba Baada ya kutembelea Morocco na kushuhudia hamasa ya Wananchi wa taifa hilo kwenye soka na miundombinu mizuri na ya kisasa waliyonayo, nimeanza kushawishika kuwa inawezekana...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Miongoni mwa mabadiliko makubwa yatakayotumika katika Kombe la Dunia la 2026 ni: 1. sheria ya kuhesabu sekunde tano kwa mipira ya kurushwa. Ikiwa mchezaji atachelewesha kwa makusudi kuurudisha...
16 Reactions
17 Replies
929 Views
Magoli 13 katika Kombe la Dunia moja Just Fontaine alifunga magoli 13 katika mashindano ya mwaka 1958 pekee. Kwa sasa hata washindi wengi wa Kiatu cha Dhahabu hufunga magoli 5–8 tu katika...
6 Reactions
13 Replies
442 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…