Mourinho, nakushauri uitengeneze hivi Real Madrid

Mourinho, nakushauri uitengeneze hivi Real Madrid

TheGreatest Of AllTime

Senior Member
Joined
Mar 14, 2025
Posts
182
Reaction score
581
Uza vinicius, tchoumeni, rudiger

Nunua elliot anderson, nunua olise, nunua dimarco

Endrick arudi kutoka mkopo

Manstatuono aende mkopo

Alafu tengeneza hichi kikosi

4-2-3-1

GK: cortouis

RB: TAA
CB: Huijsen
CB: militao
LB: dimarco

CM: elliot anderson
CM: valverde

CAM: Bellingham

RW: olise
LW: mbappe

ST: endrick

Bench:
BEKI: ASensio
BEKI: Alvaro
WINGER: rodrigo
WINGER: Diaz
Kiungo: arda guller
Kiungo: camavinga
ST: Gonzalo
 
Olise ni untouchable.... wale bavarians hawawezi muuza by any cost, ni kama useme unataka kumnunua Lamine !

Yes...vini, jude au mbappe anatakiwa aondoke mmoja, then watakaobaki wawili mmoja ndo awe image ya club ... possibly mbappe !

Vinni hapendwi pale pia ni kirusi, mbappe anataka awe image ya club, Jude anajiona yeye ndio Madrid yenyewe! Inahuzunisha
 
Olise ni untouchable.... wale bavarians hawawezi muuza by any cost, ni kama useme unataka kumnunua Lamine !

Yes...vini, jude au mbappe anatakiwa aondoke mmoja, then watakaobaki wawili mmoja ndo awe image ya club ... possibly mbappe !

Vinni hapendwi pale pia ni kirusi, mbappe anataka awe image ya club, June anajiona yeye ndio Madrid yenyewe! Inahuzunisha
Hahajaj labda aforce kwa nguvu sanaaa
 
Auze na mbape

Unastahili kumpa ushahuri mourinho.. umekadilia vizuri sana, najua haujatoa ushahuri juu ya kuuzwa mbape kwa kuwa ni pendekezo la rais wa madrid.. ila kwa ukweli kabsa mbape atafute pa kwenda bila ivyo timu hilo litakuwa ivyo ivyo
 
Tatizo ni kuwa yule fala raisi amemng'ang'ania balaaa,

Hata mimi nisingependa mbappe abaki

Naona kabisa vinicius kusepa baada ya world cup
 
Hapo kwa Vinicious kuuzwa ndo kipengele chenyewe sasa.
Vinny ndo heartbeat ya Real Madrid.

Mbappe ndo anayestahili kuuzwa kwa sababu ya ego zake za kijinga.
Mbappe kama ana ego basi zitakuwa ni off pitch lakini on ground jamaa huwa hanaga hizo mbanga.

Na hata wanao mdiss wengi wanagusa scenario moja ile ya kuhusu kitambaa cha unahodha kwenye mechi yake ya Taifa.

Lakini Vini tumemuona kwenye matukio mengi ya uwanjani akionesha ego na utovu wa nidhamu kuanzia kwa wachezaji wake hadi kwa kocha.

Hata leo tukisema tuanze ku count makosa ya Vini na Mbappe, kwa Vini tutaongea kwa ushahidi wakati kwa Mbappe tutaongea kwa hearsay.

Mimi bado naamini dual ya Vini na Mbappe bado inahitajika pale Madrid ila kama haya mapungufu yao yatadhibitiwa.
 
Uza vinicius, tchoumeni, rudiger

Nunua elliot anderson, nunua olise, nunua dimarco

Endrick arudi kutoka mkopo

Manstatuono aende mkopo

Alafu tengeneza hichi kikosi

4-2-3-1

GK: cortouis

RB: TAA
CB: Huijsen
CB: militao
LB: dimarco

CM: elliot anderson
CM: valverde

CAM: Bellingham

RW: olise
LW: mbappe

ST: endrick

Bench:
BEKI: ASensio
BEKI: Alvaro
WINGER: rodrigo
WINGER: Diaz
Kiungo: arda guller
Kiungo: camavinga
ST: Gonzalo
Shida ya Madrid ni DM, playmaker na DEFENDERS.

Courtous anajituma ila nyuma kunavuja vibaya sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom