Pep Guardiola ni mbaguzi sana, bora kastaafu

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
2,554
Reaction score
5,870
Huyu jamaa Pep Guardiola kocha mstaafu wa Man City anasifa za kibaguzi sana.

Hapendi wachezaji weusi wa kiafrika.

Yahya Toure na Samuel Etoo wameshawahi kumlalamikia sana.

Iliniuma sana kushusha kiwango cha Raheem Sterling alipokuwa Man City. Na ni yeye chanzo na kuchangia Raheem Sterling kukosa Balloon D'ior.

Anawachezesha Jeremy Doku, Guehi na Semenyo kwa shinikizo kutoka kwa wasaidizi wake hasa Kolo Toure.

Hata kuwanunua Semenyo na Guehi ilikuwa wazo na shinikizo la Kolo Toure msaidizi wake.

Bora kastaafu tu ukocha.

Senior JF local and international football analysist and correspondent.

mkorea hydroxo min -me

adriz de mbusii
 
Huyu jamaa Pep Guardiola kocha mstaafu wa Man City anasifa za kibaguzi sana.

Hapendi wachezaji weusi wa kiafrika.

Yahya Toure na Samuel Etoo wameshawahi kumlalamikia sana.

Iliniuma sana kushusha kiwango cha Raheem Sterling alipokuwa Man City. Na ni yeye chanzo na kuchangia Raheem Sterling kukosa Balloon D'ior.

Anawachezesha Jeremy Doku, Guehi na Semenyo kwa shinikizo kutoka kwa wasaidizi wake hasa Kolo Toure.

Hata kuwanunua Semenyo na Guehi ilikuwa wazo na shinikizo la Kolo Toure msaidizi wake.

Bora kastaafu tu ukocha.

Senior JF local and international footbal analysist and correspondent.

mkorea hydroxo min -me

adriz de mbusii
Sio kweli bwana.

Mara nyingi Pep ugombana na wachezaji weusi kwa weupe kwa sababu ya mbinu zake tu.

Akiluona unazingua kufata anachotaka hata uwe mweupe ujue mtazinguana tu.

Kazinguana na Zlatan wakati yupo Barca.

Kazinguana na kina Cancelo wakati yupo city wote hao ni weupe.

Pia huyo Yaya Toure alikurupuka na hasira zake tu za kutochezeshwa mwisho wa siku aligundua alichofanya ni makosa akaomba msamaha kwa pep na City.

Pep anaangalia uchezaji wako na maelekezo yake unavyouafuata ukizingua anakupiga benchi tu.
 
Dogo semenya wa ukaldayo asante kwa mchango wako.
 
Huyo kocha anapenda wachezaji wanaotumia akili kuliko maguvu
Africans tuna tatizo la kujistukia. Pep hugombana na mchezaji yoyote ikiwa huyo mchezaji ameshindwa kufata anachotaka

Pep hana ubaguzi wowote, hapo hapo barca alimzingua sana zlatan ibarahimovic hadi wakashikana mashati, mwisho zlatan akaondolewa barca. Zlatan ni msweden Ila ingetokea kwa muafrica tungesema pep anachukia waafrica

Hapo city alivyofika tu alizinguana na Joe hart, Joe hart akiwa kipa Bora kabisa uingereza lakini pep Alimkataa na akamuondoa. Joe hart angekua muafrika ingeonekana hapendi waafrika
 
Huyu jamaa Pep Guardiola kocha mstaafu wa Man City anasifa za kibaguzi sana.

Hapendi wachezaji weusi wa kiafrika.

Yahya Toure na Samuel Etoo wameshawahi kumlalamikia sana.

Iliniuma sana kushusha kiwango cha Raheem Sterling alipokuwa Man City. Na ni yeye chanzo na kuchangia Raheem Sterling kukosa Balloon D'ior.

Anawachezesha Jeremy Doku, Guehi na Semenyo kwa shinikizo kutoka kwa wasaidizi wake hasa Kolo Toure.

Hata kuwanunua Semenyo na Guehi ilikuwa wazo na shinikizo la Kolo Toure msaidizi wake.

Bora kastaafu tu ukocha.

Senior JF local and international footbal analysist and correspondent.

mkorea hydroxo min -me

adriz de mbusii
Hujui lolote kuhusu soka
Pep alivyofika barca aliwaondoa hadi wale waliokua kwenye kiwango Bora. Pep aliwakataa ronaldinho na deco, Hawa ni waafrica?

Alivyoenda man city Alimkataa na kumuondoa Joe hart. Joe hart ni mwafrika?

Pep hata uwe na kiwango gani, Kama hufit kwenye style yake anakufukuza haijalishi uwe mwafrika mzungu wala mchina
 
Naunga mkono hoja bwashee
 
Sio kweli bwana.

Mara nyingi Pep ugombana na wachezaji weusi kwa weupe kwa sababu ya mbinu zake tu.

Akiluona unazingua kufata anachotaka hata uwe mweupe ujue mtazinguana tu.

Kazinguana na Zlatan wakati yupo Barca.

Kazinguana na kina Cancelo wakati yupo city wote hao ni weupe.

Pia huyo Yaya Toure alikurupuka na hasira zake tu za kutochezeshwa mwisho wa siku aligundua alichofanya ni makosa akaomba msamaha kwa pep na City.

Pep anaangalia uchezaji wako na maelekezo yake unavyouafuata ukizingua anakupiga benchi tu.
Africans tuna tatizo la kujistukia. Pep hugombana na mchezaji yoyote ikiwa huyo mchezaji ameshindwa kufata anachotaka

Pep hana ubaguzi wowote, hapo hapo barca alimzingua sana zlatan ibarahimovic hadi wakashikana mashati, mwisho zlatan akaondolewa barca. Zlatan ni msweden Ila ingetokea kwa muafrica tungesema pep anachukia waafrica

Hapo city alivyofika tu alizinguana na Joe hart, Joe hart akiwa kipa Bora kabisa uingereza lakini pep Alimkataa na akamuondoa. Joe hart angekua muafrika ingeonekana hapendi waafrika
Naunga mkono hoja bwashee
nilikuwa natafuta comment kama hii ya mtu makini kama wewe.

Mleta mada kakurupuka tu kwa stori za vijiweni. Amejaa hisia nyingi kuliko facts.
 
Huyu jamaa Pep Guardiola kocha mstaafu wa Man City anasifa za kibaguzi sana.

Hapendi wachezaji weusi wa kiafrika.

Yahya Toure na Samuel Etoo wameshawahi kumlalamikia sana.

Iliniuma sana kushusha kiwango cha Raheem Sterling alipokuwa Man City. Na ni yeye chanzo na kuchangia Raheem Sterling kukosa Balloon D'ior.

Anawachezesha Jeremy Doku, Guehi na Semenyo kwa shinikizo kutoka kwa wasaidizi wake hasa Kolo Toure.

Hata kuwanunua Semenyo na Guehi ilikuwa wazo na shinikizo la Kolo Toure msaidizi wake.

Bora kastaafu tu ukocha.

Senior JF local and international footbal analysist and correspondent.

mkorea hydroxo min -me

adriz de mbusii
“Jamani eeeh na mimi nimeanzisha uzi”
 
Etoo amekaa barca miaka 5 magoli zaid ya 120,unataka acheze mbinguni?

Sterling na ballon!!! Wap na wap?
Acha kuamini stori za vijiweni...

Guardiola amebeba league mara tatu mfululizo na toure yupo bench tatizo nini?
Issue ni success
 
Hujui lolote kuhusu soka
Pep alivyofika barca aliwaondoa hadi wale waliokua kwenye kiwango Bora. Pep aliwakataa ronaldinho na deco, Hawa ni waafrica?

Alivyoenda man city Alimkataa na kumuondoa Joe hart. Joe hart ni mwafrika?

Pep hata uwe na kiwango gani, Kama hufit kwenye style yake anakufukuza haijalishi uwe mwafrika mzungu wala mchina
Mtoa mada ana hoja za kishamba

Pep nasifika kwamba ni coach ambaye Hana huruma na mchezaji akishaona kipaji chako kinasuasa sua hacheki na wewe cause anajua mafanikio huja Kwa mtu kuwajibika so kama hauwajibiki hawezi kukuacha cause utamvunjia status yake
 
Kabisa kabisa, Pep hana masihara na kazi yake. Zlatan anamjua vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom