Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,951
- 285,402
Huu ndio ukweli wote, suala la jezi za timu ya Taifa ni jambo la TFF tu, wala si suala la waziri.
Kilio cha Makonda ni dhahiri kuna jambo la posho nyuma yake na ni aibu sana kwa mamlaka yake ya Uteuzi, Ilipaswa afukuzwe kazi mara moja.
Waziri wa michezo si waziri wa soka pekee, hata kama kwenye soka ndio anapata umaarufu.
Kumvurugia Sandaland hakutamnufaisha chochote Ndugu Makonda, zaidi kutamuongezea gundu