Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 443
- 1,098
Kiungo wa Klabu ya Real Madrid Jude Bellingham ametangazwa kuwa Mchezaji Bora wa Timu ya Taifa ya England kwa msimu wa 2025/26, baada ya kupata kura nyingi zaidi kutoka kwa mashabiki kupitia programu rasmi ya England.
Hii ni mara ya pili mfululizo kwa kiungo huyo wa Real Madrid kushinda tuzo hiyo, baada ya pia kutwaa tuzo ya msimu wa 2024/25.
Katika msimu wa 2025/26, Bellingham aliichezea England mechi 12, akifunga mabao 7 na kutoa assist 1.
Kwenye World Cup, Bellingham aliweka rekodi mpya kwa kuwa mchezaji wa England aliyefunga mabao mengi zaidi katika historia ya Kombe la Dunia kwa taifa hilo kwenye toleo moja, akifunga mara mbili dhidi ya Mexico kwenye hatua ya 16 bora na mara mbili nyingine dhidi ya Norway kwenye robo fainali.