FT: Taifa Stars 0-2 Guinea-Bissau | Kufuzu AFCON 2027 | Uwanja wa New Amaan

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,067
Reaction score
7,031
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inashuka dimbani leo saa 10:00 jioni katika Uwanja wa New Amaan, Zanzibar, kukabiliana na Guinea-Bissau kwenye mchezo wa kwanza wa Kundi L wa kusaka nafasi ya kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON).

Timu ya Taifa @taifastars_ imefanya mazoezi kwenye uwanja wa Amaan kuelekea mchezo wa kesho wa k.jpg
Licha ya kuwa Tanzania tayari imeshajikatia tiketi ya kushiriki AFCON 2027 kama mweyeji mwenza, inatumia michezo hii ya Kundi L, linalozijumuisha pia Madagascar na Nigeria kama maandalizi kabambe ya kujipima nguvu.

Mchezo wa leo ni fursa muhimu kwa benchi la ufundi kuweka msingi thabiti na muundo wa ushindi kabla ya kukabiliana na mechi zinazofuata.

Jezi zinazotumiwa alizozikataa mpenda sifa Makonda

KIKOSI CHA WACHEZAJI 11 - TAIFA STARS

1790341050655.png

KIKOSI CHA WACHEZAJI 11 - GUINEA BISSAU

Guinea.jpg
​
 
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inashuka dimbani leo saa 10:00 jioni katika Uwanja wa New Amaan, Zanzibar, kukabiliana na Guinea-Bissau kwenye mchezo wa kwanza wa Kundi L wa kusaka nafasi ya kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON).

Licha ya kuwa Tanzania tayari imeshajikatia tiketi ya kushiriki AFCON 2027 kama mweyeji mwenza, inatumia michezo hii ya Kundi L, linalozijumuisha pia Madagascar na Nigeria kama maandalizi kabambe ya kujipima nguvu.

Mchezo wa leo ni fursa muhimu kwa benchi la ufundi kuweka msingi thabiti na muundo wa ushindi kabla ya kukabiliana na mechi zinazofuata.

Jezi zinazotumiwa alizozikataa mpenda sifa Makonda

KIKOSI CHA WACHEZAJI 11 - TAIFA STARS

View attachment 3677569​
Kwenye lineup Simba haina mchezaji hata mmoja. Chilambo angecheza namba 2 halafu Mnoga acheze namba ya Kibu. Kibu aanzie bench.
 
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inashuka dimbani leo saa 10:00 jioni katika Uwanja wa New Amaan, Zanzibar, kukabiliana na Guinea-Bissau kwenye mchezo wa kwanza wa Kundi L wa kusaka nafasi ya kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON).

Licha ya kuwa Tanzania tayari imeshajikatia tiketi ya kushiriki AFCON 2027 kama mweyeji mwenza, inatumia michezo hii ya Kundi L, linalozijumuisha pia Madagascar na Nigeria kama maandalizi kabambe ya kujipima nguvu.

Mchezo wa leo ni fursa muhimu kwa benchi la ufundi kuweka msingi thabiti na muundo wa ushindi kabla ya kukabiliana na mechi zinazofuata.

Jezi zinazotumiwa alizozikataa mpenda sifa Makonda

KIKOSI CHA WACHEZAJI 11 - TAIFA STARS

View attachment 3677569

KIKOSI CHA WACHEZAJI 11 - GUINEA BISSAU

View attachment 3677572
​
Jezi mbaya kwa mujibu wa MATAKO MAKUBWA uwanjani Timu inagongwa
 
Back
Top Bottom