Vinícius Jr ameendelea kuandika historia yake taratibu ndani ya kikosi cha Brazil baada ya kuweka rekodi mpya kwenye World Cup kufuatia ushindi wa Brazil dhidi ya Haiti June 19, 2026 (Friday)...
Wakuu leo mechi nane zitapigwa za NBC Premeir league lakini Jambo kubwa ni kati ya Yanga dhidi ya Azam FC. Je, Yanga wataweza kujishikilia dhidi ya utofauti wa point mbili kati yake na Mnyama...
Leo Goat CR7 Lazima atupie kamba 2, tupunguze hizi kelele za mji. Kila la Kheri mwamba
================
Mtanange wa kweli wa "David dhidi ya Goliath" (mnyonge dhidi ya jitu) unatarajiwa kurindima...
Djed Spence mchezaji mweusi wa Uingereza na muislam wa kwanza kuichezea timu ya taifa ya Uingereza hakuonesha kitendo cha kiungwana kabisa kwa kukataa kumsalimia Thomas Partey Beki kiungo wa Ghana...
Raundi ya 28 ya Ligi Kuu NBC inaendelea leo kwa mchezo wa kusisimua kati ya Mtibwa Sugar na Simba SC utakaopigwa saa 10:00 jioni katika Uwanja wa Jamhuri. Simba SC ikisaka pointi 3 katika mbio za...
Kama washindi pekee wa Kundi K katika michezo ya kwanza, Colombia watakuwa wanatafuta nafasi ya kujihakikishia ushiriki wao katika hatua ya 32 bora watakapochuana na DR Congo kwenye Uwanja wa...
Captain wa timu ya taifa ya Irana lipokuwa akihojiwa amedai, wanafuraha kubwa kuwa hapa Mexico kwenye kombe la dunia hili, kwani wameambiwa wafanyabiashara wa madawa ya kulevya, cartel...
Ni kinachomgharimu zaidi ambacho hakijui na sijui kwanini hata wale Wanafiki huwa hawamwambii ni kwamba anataka sana Kumuiga / Kufanana na Beki wa Kazi ambaye japo alikuwa akicheza Yanga SC...
Duh huu uganga ni fashion ya kizamani mno.. Zamani mno enzi Mr. Noah bado yupo ndani ya safina.
Mbappe wa kwanza kuingia uwanjani , Mbappe wa kwanza kutoka uwanjani. Uchawi kama wa Simba na...
Cristiano Ronaldo aliisaidia Portugal kuifunga Uzbekistan 5-0 baada ya kufunga mabao 2 kwenye mchezo huo.
Mabao hayo:
Yamekatisha ukame wake wa mechi 10 bila kufunga kwenye mashindano makubwa...
Huyu member KUNI alileta uzi juzi tumshauri a cash out 2M ama asubiri tu mechi ya Ureno na Uzbekistan mkeka utiki apate 18M.
Wengi walimshauri a cash out lakini mwenyewe akakomaa atasubiri...
Nimemuomba namba yake wiki 3 Zilizopita kilasiku Nilikua simtongozi Tunachati tu ila sasa Nimpotezee cku 2 tu kaanza kulalamika et Mbona simpigii ipoje hii au kaingia mtegoni Tayari?
Cristiano Ronaldo sasa ndiye mfungaji bora zaidi wa Portugal kwenye historia ya World Cup 🔥
Baada ya mabao yake mawili dhidi ya Uzbekistan:
Ronaldo amefikisha mabao 10 ya World Cup 🔥
Akimvuka...
Niliandika kama post nimeona nilete uzi nielewe fresh.
Timu ya taifa ya wanawake ya mpira wa miguu US ndiyo inaongoza kwa kuchukua makombe mengi ya dunia. Ikiwa na makombe manne.
Nasikiaga...
Mwaka 2012 mwishoni nilishawishika kuanza kubeti baada ya kushuhudia rafiki yangu aliekuwa akibeti kwa muda mrefu hatimae katandika shilingi laki 4 na elf 30 kwa dau la elf 2 pekee...
Mohammed Salah alionekana akiwa kwenye mitaa ya jiji la Vancouver nchini Canada akishangilia pamoja na raia wenzake wa Misri baada ya timu yao ya Misri kufanikiwa kuifunga timu ya New Zealand kwa...