Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 1,289
- 3,184
Captain wa timu ya taifa ya Irana lipokuwa akihojiwa amedai, wanafuraha kubwa kuwa hapa Mexico kwenye kombe la dunia hili, kwani wameambiwa wafanyabiashara wa madawa ya kulevya, cartel, wanawapenda sana.
Jambo amabalo limeibua maswali Kwa raia, wakihoji biashara hio si halali kwanini mchezaji huyo kaongea bila kuogopa je Kuna mtu kampanga au alikua na mana gan?
Jambo amabalo limeibua maswali Kwa raia, wakihoji biashara hio si halali kwanini mchezaji huyo kaongea bila kuogopa je Kuna mtu kampanga au alikua na mana gan?