Acha bange mbichiMwenye mpira wake leo anacheza. G.0.A.T CR7 nguli na kinara wa mabao duniani yupo uwanjani. unakosaje mechi hiyo?
Mwenzake anayo tangu 2018Huku sasa kujifariji baada ya Hat trick ya G.O.A.T [emoji238] La Pulga naona mmeanzisha uzi maalumu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja nikaufufue uziMwenzake anayo tangu 2018
Ilikuwa ya moto sana 🙌🏾 Spain hawakuamini macho YaoMwenzake anayo tangu 2018
🤣🤣watu wanasubili alipize ya jana tujue goat ni nani maana wanasema Algeria hata kibu aliifungaHivi leo ronaldo ataanza kweli
😀😀 we jamaa fala,nimecheka sanaHuku ni kulazimisha kujamba hali ya kuwa unaharisha