Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kwakweli hii mechi Mimi nikiwa kama mshabiki wa Yanga na Al masry pamoja na wenzangu wengi, tunaisuburi mechi yetu ya pili ya kufuzu dhidi ya makolo aka Simba ambayo itachezwa Kwa Mkapa. Tuna...
1 Reactions
6 Replies
494 Views
Ni akina nani Huwa wanakagua makampuni ya kubeti nchini ili kuhakikisha hakuna utapeli kwa wananchi? Je Kuna mfumo wowote imara wakufanya auditing ya mifumo inayotumika kwenye michezo husika ya...
1 Reactions
3 Replies
360 Views
Lionel Messi’s bodyguard, Yassine Cheuko, has been banned by MLS from protecting the Argentine on the pitch due to new league safety regulations ❌✋ "I was in Europe for seven years working for...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Bwana Paul Chacha ni mkuu wa mkoa ambaye anamchafua mheshimiwa Rais Samia makusudi Analeta ubabe wake wa Kikurya kwenye mambo ya football Alitukana Yanga wana kiherehere na wanahonga...
13 Reactions
45 Replies
2K Views
Baada ya malamiko ya Yanga kutajwa kupokelewa katika Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS), Mwanasheria mbobezi Aloyce Komba anasema Yanga wanapaswa kuwasilisha ndani ya siku 10 rufaa yao rasmi...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kuna picha Rais Samia alipiga na team nate wa Chilunda Ile picha mkono wa Rais ulikaa kwenye bega la Chilunda Picha moja nzuri sana Nasikia wenzake walimuonea sana wivu. Baada ya hapo kesho...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Tumesha sema sana hapa JF kuhusu mwenendo wa serikali ya CCM jinsi mnavyo weza kuwapa watu viburi na kujiongelea au kutokuheshimiana. Sija shtuka kuona la Ally Kamwe kwani hata Steve Nyerere...
0 Reactions
2 Replies
351 Views
Baada ya matokeo ya jana 2-0 dhidi ya al masry ambayo ni sawa na kmc au coastal union,ni dhairi kama wangecheza na yanga wangekutana na kiama/kipigo kitakatifu. Kama ni karata basi mangungu na...
2 Reactions
7 Replies
581 Views
Jana Klabu ya Simba imecheza na Klabu ya Al Mastry na kufungwa magoli mawili kwa bila. Binafsi kama mpenzi wa Simba yale magoli yaliyofungwa kama Manula ndiye angekuwa kipa jana tusingefungwa...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Leo nimeangalia mechi ya Yanga nikitarajia kuwepo na upinzani mkali baada ya sakata lilotokea siku chache zilizopita nikitegemea Tabora watadraw au kushinda nikiwa na shauku ya Simba kurudi...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
RATIBA YA PBZ PREMEIR LEAGUE IHESHIMIWE Shirikikisho la Soka la Zanzibar ZFF lilikuwa limepanga Ligi Kuu ya PBZ iendelee kuchanja mbuga kuanzia Aprili 5, 2025 na kutafuta vidume vya Zanzibar ili...
0 Reactions
1 Replies
435 Views
Habari, Wengi mlifurahia hasa Simba kugomea Ile game ila ukweli kama Simba alikua anaelewa yupo katika michuano Gani? Na anataka Nini? Simba angecheza ila game...Ile Derby mi naamini ndio ilikua...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
CAS ; CAF inasisitiza mchezo wa mpira uchezwe kwa gharama yoyote, Kwanini mmeahirisha mchezo halali wa Ligi? Kulikuwa na hali mbaya ya hewa? TPLB; Hapana CAS; Kifo labda cha mchezaji, kiongozi...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Nimeshangazwa sana kukamatwa na kushikiliwa katika kituo cha polisi kwa Ali kamwe kwa kile kinachodaiwa kutoa kauli za kudhalilisha viongozi. Nimesikiliza hizo kauli za Ali Kamwe sijaona kauli...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Yaani Mume Shujaa kasafiri zake kwenda kuleta Heshima nchini Misri huku nyuma Mke Maharage ya Mbeya nae anazurula kwa Waganga wa Kienyeji (Marafiki) Mkoani Tabora.
6 Reactions
23 Replies
1K Views
"Naomba mamlaka husika za mpira wa miguu kwa maana ya TFF na Bodi ya ligi kuchukulia hatua jambo hili, Bodi ya ligi hawajawahi kusema wasemaji tutukane viongozi na nampa masaa 24 Ali Kamwe amuombe...
0 Reactions
7 Replies
525 Views
Ndugu zangu kuuliza sio ujinga. Ally kamwe si alifungiwa kujihusisha na mpira kwa miaka miwili? Imekuwaje anaendelea kujihusisha na mpira hadi hili sakata la tabora limetokea nimeshangaa sana...
0 Reactions
1 Replies
423 Views
Kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Tabora United na Yanga SC, unaotarajiwa kuchezwa Aprili 2, 2025, katika dimba la Ally Hassan Mwinyi, mkoani Tabora, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
SIMBA [emoji1241] wakiwa Ugenini mechi 5 za mwisho CAF [emoji777] Al Ahly 2-0 Simba [emoji1666] Ahli Tripoli 0-0 Simba [emoji777] Constatine 2-1 Simba [emoji736] Sfaxien 0-1 Simba [emoji1666]...
9 Reactions
65 Replies
2K Views
Mimi nilitaka kushangaa mtu anasimama mbele ya halaiki, tena mtoto mdogo tu anatamba eti atachacha, where do you get that arrogance? Kwamba Yanga ni kubwa kuliko authority? Unaongea as if...
0 Reactions
3 Replies
386 Views
Back
Top Bottom