Winga wa Manchester United, Alejandro Garnacho yupo kwenye mpango wa kuiuza nyumba yake iliyopo Jijini Manchester uamuzi ambao umeanza kutafsiriwa na mashabiki wa timu yake kuwa inawezekana ni...
Klabu ya Simba SC imemtangaza Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, kuwa mgeni maalum katika mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC)...
sijaua kama ni fitness ndio inakosekana kwa wachezaji yaani ule uchapu nani kafungua,imekaaje kaaje nipige au niendelee kusukuma kwenda mbele na sio umeona tu lango na kupiga...
Nimewahi kusema mechi za nyuma , SIMBA wanacheza vizuri sana kuanzia nyuma hadi katikati....
Inachokosekana uwezo wao wa kuvuruga defence pinzani. Magoli mengi yanatokana na krosi za full back...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Richard Abwao amesema Jeshi la Polisi Mkoani humo limemuachia Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe kwa dhamana huku taratibu nyingine za kiuchunguzi kuhusu tuhuma...
Mkuu wa Mkoa ni kiongozi wa watu wote, taasisi zote na vikundi vyote. Anapokuwa anatumia pesa ya watu wote kuwapa Tabora United inayoshiriki ligi kuu sawa na timu nyingine sio sawa. Hii ni tofauti...
Narudia tena ni shughuli ngumu mno kufungua code za timu iliyoamua kupaki.
Ni timu chache sana duniani zinazoweza shughuli hii.
Na hata ukiweza kushinda basi ni kwa margin ya goli moja unless...
Tanzania tumeshazoea mipira yetu inayochezwa na waamuzi wakina Tatu Malongo, wao ukianguka tu penati hawaangalii tukio kwa umakini. Naona kuna wengine wanalalamika kwanini Kepteni hakuongea na...
Kuna hawa strikers wa Simba , Simba Ina mastriker watatu ambao kwenye pecking order ateba ni namba moja , mukwala Namba mbili na mashaka namba tatu, kwa upande wangu sijawahi muelewa kabisa ateba...
Mwenendo wa timu ya Astonvilla kupata alamu tatu kwa michezo sita mfululizo umenishitua sana na kuvutiwa na mipango mipya ya klabu hiyo toka dirisha dogo.
Je ni homa au mikakati thabiti
Nilishawaambia kocha wa simba Hanaga plan B ( rejea post zangu za nyuma.
Yeye alipopata matokeo kipindi cha kwanza cha pili ni ngumu, hata sub zake huwa za mashaka sana akiwa hana matokeo.
Mara...
Kwakweli hii mechi Mimi nikiwa kama mshabiki wa Yanga na Al masry pamoja na wenzangu wengi, tunaisuburi mechi yetu ya pili ya kufuzu dhidi ya makolo aka Simba ambayo itachezwa Kwa Mkapa. Tuna...
Ni akina nani Huwa wanakagua makampuni ya kubeti nchini ili kuhakikisha hakuna utapeli kwa wananchi? Je Kuna mfumo wowote imara wakufanya auditing ya mifumo inayotumika kwenye michezo husika ya...
Lionel Messi’s bodyguard, Yassine Cheuko, has been banned by MLS from protecting the Argentine on the pitch due to new league safety regulations ❌✋
"I was in Europe for seven years working for...
Bwana Paul Chacha ni mkuu wa mkoa ambaye anamchafua mheshimiwa Rais Samia makusudi
Analeta ubabe wake wa Kikurya kwenye mambo ya football
Alitukana Yanga wana kiherehere na wanahonga...
Baada ya malamiko ya Yanga kutajwa kupokelewa katika Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS), Mwanasheria mbobezi Aloyce Komba anasema Yanga wanapaswa kuwasilisha ndani ya siku 10 rufaa yao rasmi...
Kuna picha Rais Samia alipiga na team nate wa Chilunda
Ile picha mkono wa Rais ulikaa kwenye bega la Chilunda
Picha moja nzuri sana
Nasikia wenzake walimuonea sana wivu.
Baada ya hapo kesho...
Tumesha sema sana hapa JF kuhusu mwenendo wa serikali ya CCM jinsi mnavyo weza kuwapa watu viburi na kujiongelea au kutokuheshimiana.
Sija shtuka kuona la Ally Kamwe kwani hata Steve Nyerere...
Baada ya matokeo ya jana 2-0 dhidi ya al masry ambayo ni sawa na kmc au coastal union,ni dhairi kama wangecheza na yanga wangekutana na kiama/kipigo kitakatifu.
Kama ni karata basi mangungu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.