Kuhusu usimamizi wa michezo ya kubahatusha

Kuhusu usimamizi wa michezo ya kubahatusha

mhogoz

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2021
Posts
1,396
Reaction score
2,348
Ni akina nani Huwa wanakagua makampuni ya kubeti nchini ili kuhakikisha hakuna utapeli kwa wananchi? Je Kuna mfumo wowote imara wakufanya auditing ya mifumo inayotumika kwenye michezo husika ya kubahatusha?
 
Mcheza kamari akiliwa sana lazima awaze maswali magumu kama haya 😁😁
 
Back
Top Bottom