Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,011
- 32,907
SIMBA [emoji1241] wakiwa Ugenini mechi 5 za mwisho CAF
[emoji777] Al Ahly 2-0 Simba
[emoji1666] Ahli Tripoli 0-0 Simba
[emoji777] Constatine 2-1 Simba
[emoji736] Sfaxien 0-1 Simba
[emoji1666] Bravos 1-1 Simba
Umegundua nini hapo …[emoji3166]
Cc: Team of citizens
Msimamo wangu
Mimi kama mchambuzi maarufu Baada ya takwimu hizo ninaomba Kwa akili zangu mods.mnipige bani siku Moja kama Simba atashinda mechi ya Leo
Yani Simba ya kina mutale ...kibu impige mwarabu[emoji32][emoji51][emoji51]???? Hiki ni kichekesho