Kevin De Bruyne announces he will LEAVE Man City this summer in emotional statement - and now big money deal in Saudi or US beckons
Kevin De Bruyne has confirmed he will leave Manchester City...
Nimefuatilia uchambuzi wa wachambuzi wenzangu ....nimesikitika sana .....lakini pia nimecheka sana.....Kila mchambuzi anasema eti Simba Kwa mkapa atapindua meza[emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee...
Nimemsikiliza pasipo shaka Mkuu wa Mkoa wa Tabora kuhusu wachezaji wa Tabora kutumiwa sms za kuombwa wazubae kesho ili timu yetu ya Jangwani ipate matokeo, ni kweli anachosema RC kuwa makosa ya...
Kwa kocha huyu,Simba haiwezi kwenda zaidi ya hapo walipofika.
Kocha ana dissapoint wachezaji wazuri watakata tamaa.
Mwisho uchawi anaotumia yanga kushinda mechi za Simba ,atautumia tena...
Mapema sana jamaa wanarudi hapa na kukaa bongo tuendelee kutafutana uchawi. Hawana team ya kushinda kule Misri. Hawana.
Hii Simba ya akina Mikwara? Akina Agahuo? Akina nani sijui? Nipo hapa...
Mtoto aliyepata malezi bora ya baba na mama utamjua ukubwani,huwa hawana adabu na hawajui waongee nini na wakati gani.
Kuna familia wazazi wote wapo pamoja ila mmoja yuko bize sana mpaka...
"Naomba mamlaka husika za mpira wa miguu kwa maana ya TFF na Bodi ya ligi kuchukulia hatua jambo hili, Bodi ya ligi hawajawahi kusema wasemaji tutukane viongozi na nampa masaa 24 Ali Kamwe amuombe...
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inaweza kukabiliwa na vikwazo ikiwa ni pamoja na kufungiwa na Shirikisho la soka Duniani (FIFA) baada ya Rais wa Chama cha soka la wanawake nchini humo (LIFF)...
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amesema kuwa Simba ni miongoni mwa timu zinazotoa vipigo vikubwa barani Afrika huku akisisitiza kuwa tayari wamewahi kuwadhalilisha...
Sibo ni shabiki wa mamelod aliamua kujitolea na kuweka ubinadamu mbele na kumuokoa shabiki wa timu ya Esperance aliyekwama jukwaani na alikuwa kwenye hatari ya kuanguka na kufa..nina hakika...
Wazee hivi inakuwaje mwenyeji wako anafanya Sub Sita kubadili mabeki, viungo na washambuliaji wake halafu kocha wetu fadlu anang'ang'ania wachezaji wale wale waliochoka?
kulikuwa na ulazima gani...
Hapa ni Peru, yasemekana kwenye Peru Cup refaree usipojilinda hatima yako ni hospitali ama kufa kabisa
Hapo refa alikuwa ametoa red kwa mchezaji, mbeba vifaa wa timu akaona usitutanie kaokota...
Matokeo ya Simba kushinda mpaka kuwe na penalty ndicho kimewaponza Jana ..... Tumeshuhudia mechi 22 walizocheza Simba kwenye michezo 15 wamepata penalty
Hii inamaanisha kwenye Kila michezo 3...
Mnakumbuka alikuwa mdhamini wa timu zote mwaka juzi, Yanga ikafika fainali kwa kubebwa na ma arajiga wa CAF.
Mwaka huu kaidhamini Al Masry ili itukwamishe. Kamara kapewa hela pia.
Mimi ni mzee...
Najalibu kujiuliza nguvu ipi wanaipata mashabiki ambao timu yao imefungwa mala nne mfululizo na mechi ya tano wameingia mitini kwa kuogopa kipigo lakini bado wanajipa moyo kujifanya wanatamba...
Pesa sasa hivi ni ngumu.
Pia, mimi si mpenzi sana wa soka, lakini nimesoma vyombo kaadhaa vya habari kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha , katoa ahadi ya milioni 60 kwa timu yake...
Winga wa Manchester United, Alejandro Garnacho yupo kwenye mpango wa kuiuza nyumba yake iliyopo Jijini Manchester uamuzi ambao umeanza kutafsiriwa na mashabiki wa timu yake kuwa inawezekana ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.