Wanacheza anao anao sana huku wakicheza zaidi Kibinafsi na siyo Kitimu hadi Wanaboa. Najua wanajua Mpira, ila lazima wajifunze Kucheza Kimkakati kutokana na Malengo ya Timu (SSC)
Kuna mpira mmoja...
Mimi nilijua tokea awali kuwa makolo hawawezi kutoboa katika ardhi ya firaun , hasa baada ya kumlipia tiketi ya ndege pamoja na malazi, mchambuzi mwenye njaa na makasiriko ya Yanga sc , ndugu...
Angalieni tu kwenye line up yao.....asilimia 95% ni wachezaji wa ndani...yaani wazawa.
Kama unabisha just Google cheki mechi za leo, line ups zipo tayari.....mtanielewa ndugu zangu
In summary...
Huyu Mwamba kulikoni mechi nyingi hachezi na hata hizo anazocheza ni kwa muda mfupi sana? Hana Taarifa za ugonjwa Wala majeruhi kulikoni?
Hii sio hasara kwa klabu, kwa kulipa mamilioni mengi...
Kama Simba Sc itaingia uwanjani kwa Game plan ya kujihami mwanzo mwisho simply ipo ugenini itaaibika..
Hii Game plan iliwa-cost Simba dhidi ya Constatine kule Algeria..
Ile mechi Simba sc...
Awali RC wa Tabora alitoa taarifa za uongozi wa Yanga kutuma watu kutoa rushwa ili kupanga matokeo ya mchezo wa Yanga na Tabora.
Imebumbuluka kwamba kipa wa Tabora United Jean Noel anashawishiwa...
Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar🔰💪🏽
Dakika ya 15
Mzize anakosa goli la wazi
Dakika ya 17
Yng 0 -0 kgr
Dakika ya 20
Kagera sugar wanapata Free kick
Dakika ya 21
Yanga SC wanapata kona...
Ukiangalia kwa makini sana Yanga haipo kwa ajili ya kucheza mpira uwanjani bali nje ya uwanja.
Yanga imeacha kuwa timu ya mpira na haitaki ushindani bali matumizi ya rushwa na mbinu zozote chafu...
Nchini Uingereza, mkataba wa hivi majuzi zaidi wa haki za TV za ndani, unaoanzia msimu wa 2025-26 na kuendelea kwa miaka minne, una thamani ya £6.7 bilioni. Hii inafikia takribani pauni bilioni...
Nasikitika sana kwa vitisho kwa watu,dharau kwa mamlaka za mpira na serikali.
Kuna kila dalili hawa watu wamechanganyikiwa na wana wivu mkubwa wa kijinga sana dhidi ya Simba inayocheza kimataifa...
Ndugu zangu wanasimba kucheza fainali za CAF katika hii generation sio kitu rahisi kama mnavyofikiria hizi zama sio miaka ile ya tisini mliocheza fainali za bonanza la Mashudi Abiola.
Wenzenu...
Msemaji wa Klabu ya Yanga kila mara amekuwa akitoa maneno yasiyo na staha. Mfano hai ni pale alipokuwa mjini Tabara alitamka wazi kuwa Mkuu wa Mkoa hataalikwa kuja kula nyama siku ya Iddi. Kwa...
Kuna watu wanataka Kanuni zifuatwe ili ukiwasikiliza vizuri utagundua wanachagua kanuni gani zifuatwe na zipi zisifuatwe. Sasa embu tuliangalie hili suala la Kanuni na adhabu zake kwa umakini...
Kuelekea mchezo wa Al Masry dhidi ya Simba katika Kombe la Shirikisho Afrika, hizi ni takwimu za Al Masry na Simba katika hatua ya Makundi.
Kwenye michezo sita ya makundi,
Al Masry kafanya...
Nadhani watu wengi wamesikia kauli ya mkuu wa mkoa wa Tabora kuelekea kwenye mechi ya Tabora vs Yanga. Katoa kauli zinazoashiria rushwa na upangaji wa matokeo kwa wachezaji wa Tabora na...
Mechi ya mkondo wa kwanza ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Ahly SC dhidi ya Al Hilal Omdurman inachezwa leo saa 4:00 usiku kwenye dimba la Cairo International Stadium.
🔴 Live...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.