Yanga wamebeba tena ubingwa wa ligi kuu ya NBC kwa mara 5 mfululizo
Ambapo msimu huu wa 2025/ 2026 ilionekana kama kutobeba ubingwa huu lakini wameonyesha ubabe wao tena
#####
Vinara wa ligi kuu bara au mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu ya Tanzania bara Young African sport club Leo watakuwa dimbani kuchuana na JKT Tanzania , michezo huu ni muhimu kushinda kwa Yanga ili itwae mwari kwa Mara nyingine Tena.
Je Allan Okello atachukua ufungaji bora ?
Let's wait 16:00
MOVE ON YOUNG AFRICAN