Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wadau leo hii TFF imefanya uchaguzi, wa viongozi wapya watakaoliongoza soka la Tanzania kwa miaka minne Ijayo. Matokeo ya wajumbe waliochaguliwa ni kama yafuatavyo WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inatarajiwa kuwasili Dar es Salaam, kesho saa 3:00 asubuhi kwa saa za Afrika Mashariki na kutazamiwa kulakiwa na maelfu ya wakazi wa jiji hilo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
...vipi matokeo ya uchaguzi wa TFF leo, nobody's interested? nani RAIS mpya huko? nilidhani JF inaongoza wengine wanafuatia, hii nimeipata kwa hisani ya blog ya issamichuzi... WAJUMBE 12 WA...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu Timu yetu ya Taifa,Taifa stars leo inapambana na Sudan ambapo mshindi atapata tiketi ya kushiriki mashindano ya CHAN..Naomba wana JF watakaokuwa wakipata matokeo wakati mechi ikiendelea wawe...
0 Reactions
175 Replies
22K Views
Wakuu Samahanini nilipotea kwa muda kwenye kutafuta katika hali yetu ya kawaida. Nimerudi na naomba mniruhusu kuendelea kuchangia, yangu leo machache. Hivi ni kweli huyu ajulikanaye kama...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu Samahanini nilipotea kwa muda kwenye kutafuta katika hali yetu ya kawaida. Nimerudi na naomba mniruhusu kuendelea kuchangia, yangu leo machache. Hivi ni kweli huyu ajulikanaye kama...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ronaldo almost joined Arsenal Cristiano Ronaldo has revealed that he was ''within an inch'' of joining Arsenal before he accepted an offer three times greater to sign for Manchester United in...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wapenzi wa ngumi, najua dec 6 mlikuwa mkiisubiri kwa hamu na ndiyo hiyo inajongea, wengi tunatarajia kwamba hili ndilo litakalokuwa pambano bora la boxing kwa mwaka huu. Oscar De la Hoya...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
France Football has handed its prestigious Ballon d'Or award to Cristiano Ronaldo, a decision that will surprise no-one given his outstanding performances over the past 12 months. The...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajamii wenzangu, ingawa hili linaonekana si la maana sana ila napenda kushare nanyi: Kwa wale wanaoangalia series ya PRISON BREAK ETC Nimeona sehemu nyingi kwenye bars, wanaouza movie wana...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nimeziangalia filamu hizi mbili na kuzilinganisha na nimefurahishwa zaidi ya Body of Lies kuliko Quantum of Solace. Kilichonivutia ni kuona kuwa matukio ya kwenye Body of Lies yanaendana zaidi ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kenya Broadcasting Corporation:
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Reuters: Thursday, December 4, 2008; 7:42 AM Lil Wayne and Coldplay lead Grammy field LOS ANGELES (Reuters) - Rapper Lil Wayne, whose new album was the biggest seller of the year, led the...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Victoria Secret's Fashion show ambayo imepata umaarufu mkubwa pamoja na kuwa inaonyeshwa mara moja tu kwa mwaka katika wiki ya kwanza ya mwezi December kwa mara nyingine tena itakuwa hewani leo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Duh! My fav cop show has ended your views on Vic?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KAMBI ya timu ya soka ya taifa ‘Taifa Stars’ iliyopangwa kuwekwa katika machimbo ya Bulyanhulu imehairishwa kutokana na matatizo ya hali ya hewa. Kwa mujibu wa habari zilizotufikia kambi hiyo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Check live update hapa JF
0 Reactions
30 Replies
8K Views
Nilipita pale kwa michuzi na nikaona picha ya deleuxe Mwanza,imenikumbusha mbali sana...way back nilipokuwa Mwanza mwaka 2000.Mlioko huko naomba mniambie kama bado upo. Nilikumbuka ukumbi huu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
You might not expect Fernando Torres to think too highly of Cristiano Ronaldo. The Spanish superstar plays for Liverpool after all, and those of a red persuasion on Merseyside do not tend to feel...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tarehe 8 December 2008 wasanii Fat Joe na EvE wanatarajiwa kutumbuiza katika onyesho kubwa na la aina yake lililoandaliwa na Str8 music. Wakati huohuo nasikia Likizo Tyme nao wanakuja na wasanii...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…