Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 353
Kwa wapenzi wa ngumi, najua dec 6 mlikuwa mkiisubiri kwa hamu na ndiyo hiyo inajongea, wengi tunatarajia kwamba hili ndilo litakalokuwa pambano bora la boxing kwa mwaka huu. Oscar De la Hoya "Golden Boy" (39-5) atakuwa akizichapa na mfilipino Manny "Pacman" Pacquiao (47-3-2) katika pambano lisilo la ubingwa katika uzani wa walterweight. Oscar (35) ambaye ni bingwa wa dunia katika uzito sita tofauti atakuwa akishuka uzito kwani pambano lake la mwisho alipigana katika uzito wa middleweight wakati Manny(29), ambaye ni bingwa mara nne katika uzani tofauti, atakuwa akipanda uzito kutoka lightweight.
Wengi wanatabiri kwamba De la Hoya atashinda mpambano huu kwa sababu ya size yake kubwa ukimlinganisha na Manny, advantage aliyokuwa nayo Manny kwenye hii fight ni his younger age and speed,wengi wanataraji atakuwa mzito kwa kuwa he has had to put weight on. I so want him to win but I wont be suprised at all if he loses.
NB:Amir Khan ,who has been sparring with Pacquiao, will be returning to the
ring on the night for the first time since his devastating demolision by the
powerful-dangerous colombian Breidis Presscot, wish him luck.