Victoria Secret's Fashion Show | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Victoria Secret's Fashion Show

Discussion in 'Sports' started by BAK, Dec 4, 2008.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Dec 4, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,690
  Likes Received: 82,553
  Trophy Points: 280
  Victoria Secret's Fashion show ambayo imepata umaarufu mkubwa pamoja na kuwa inaonyeshwa mara moja tu kwa mwaka katika wiki ya kwanza ya mwezi December kwa mara nyingine tena itakuwa hewani leo kuanzia 10.00pm ET katika channel ya CBS. Na mtumbuizaji atakuwa ni Usher Raymond.
   
 2. Kisura

  Kisura JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2008
  Joined: Jun 21, 2007
  Messages: 363
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Yaani wewe, watakuuwa hawa warembo! Haya basi tuta compare notes baadae.....

  Mbona hukuitafuta ile VS thread, si ipo bado?
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Dec 4, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,690
  Likes Received: 82,553
  Trophy Points: 280
  Aisee hiyo show ni kali sana sijui kwa nini wasiifanye angalau mara mbili kwa mwaka June na December. Nilipoweka kichwa cha habari hicho nilitegemea ile ya mwaka jana ingekuja lakini haikuja hivyo nikaamua kufungua nyingine.

  LOL! ;) Imagine the World without women, a very boring place :(and most of us would prefer to be in a different planet ;). Hiyo Avatar yako vipi! he he! ;)
   
 4. Kisura

  Kisura JF-Expert Member

  #4
  Dec 4, 2008
  Joined: Jun 21, 2007
  Messages: 363
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Sawa nakupata Bubu...

  Haya basi mwangalie Adriana hapo.
   
 5. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #5
  Dec 4, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,690
  Likes Received: 82,553
  Trophy Points: 280
  Hmmm! :) Ilikuwa nzuri sana lakini kuna zile bra na kufuli za winter :) hazikunifurafisha sana lakini wanajua kuandaa show zao.
   
Loading...