Taifa Stars Vs Sudan live updates & Results | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taifa Stars Vs Sudan live updates & Results

Discussion in 'Sports' started by Masatu, Nov 29, 2008.

 1. M

  Masatu JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Check live update hapa JF
   
 2. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2008
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wapi hapo mkuu......au mazingaombwe haya...maana nimeikodolea macho posti yako kwa dakika kadhaa sioni kitu. Kuwa muwazi zaidi mkuu....
   
 3. M

  Masatu JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Dk 25 Taifa Stars 1 Sudan 0
   
 4. M

  Masatu JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kuwa na subra basi....
   
 5. M

  Masatu JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Dk 27 Sudan wanasawazisha 1-1
   
 6. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2008
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  sasa mkuu hicho cha ndimu ndio unakiona pekeyako au?....nilifikiri utatupa linki na sisi tujidai
   
 7. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Nani kafunga?
  Wamevaa jezi gani?
  Una link tuangalie nasi?
   
 8. M

  Masatu JF-Expert Member

  #8
  Nov 29, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Link ni uwanja mkuu wa taifa na sioni peke yangu tupo over 50,000 humu ndani.....
   
 9. M

  Masatu JF-Expert Member

  #9
  Nov 29, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kipindi cha pili dakika ya 14 Taifa Stars 2 Sudan 1
   
 10. B

  Baba Mkubwa JF-Expert Member

  #10
  Nov 29, 2008
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 770
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Asante sana, Ebwana leta story zaidi maana huku tuliko tunahamu sana. Big-up Masatu
   
 11. M

  Masatu JF-Expert Member

  #11
  Nov 29, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Dakika 23 kipindi cha pili Taifa Stars 3 Sudan 1
   
 12. M

  Masatu JF-Expert Member

  #12
  Nov 29, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ongezeni maombi safari ya kwenda Ivory Coast kwenye fainali za kombe la mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani inanukia.
   
 13. B

  Baba Mkubwa JF-Expert Member

  #13
  Nov 29, 2008
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 770
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ebwana Masatu, yaani hapa nipo kwenye computer yangu nikikusubilia wewe unipe updates, japo baridi. Nitafurai sana kama mambo yataenda hivivi
   
 14. M

  Masatu JF-Expert Member

  #14
  Nov 29, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Poa mkulu nitakuwa nakurushia updates, yaani hapa kuna "feel good factor" kubwa sana watu wameweweseka watoto wanakanyaga ball kama Manu United
   
 15. B

  Baba Mkubwa JF-Expert Member

  #15
  Nov 29, 2008
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 770
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Poa mkuu wangu
   
 16. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #16
  Nov 29, 2008
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Good commentary mkuu
  Tuko pamoja mpaka kipyeeeeeeeeeeeeeeee dk 90
   
 17. B

  Baba Mkubwa JF-Expert Member

  #17
  Nov 29, 2008
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 770
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mkuu, hapa naangalia saa yangu, japo tunapishana na Tanzania lisaa limoja, nahisi mpira umekaribia kwisha!!
   
 18. B

  Baba Mkubwa JF-Expert Member

  #18
  Nov 29, 2008
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 770
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mkuu ikiwezekana tupe na majina ya wachezaji waliofunga hasa wa wachezaji wetu. Na pia utupe tasimini ya mchezo, na je tukikupa rungu la kuongea na Maximo, unadhani utamshauri aendelee kuinoa stars maana mambo yanabadilika yanaanza kuwa mazuri.
   
 19. M

  Masatu JF-Expert Member

  #19
  Nov 29, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mpira umekwisha! 3-1 refa katubania sana kakataa goli 2 zetu ilikuwa tuwafunge 5 wamanga hawa!
   
 20. M

  Masatu JF-Expert Member

  #20
  Nov 29, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Magoli ya Stars yamefungwa na Athumani Idd (Chuji) Jerisson Tegete ( Jerry ) na Kigi Makassi, sadly wote ni wachezaji wa Kandambili Yanga lakini poa tu tunashangilia ushindi.....
   
Loading...