Uchaguzi TFF na mwelekeo wa soka la Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi TFF na mwelekeo wa soka la Tanzania

Discussion in 'Sports' started by Hofstede, Dec 14, 2008.

 1. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2008
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Wadau leo hii TFF imefanya uchaguzi, wa viongozi wapya watakaoliongoza soka la Tanzania kwa miaka minne Ijayo. Matokeo ya wajumbe waliochaguliwa ni kama yafuatavyo

   
  Last edited: Dec 14, 2008
 2. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #2
  Dec 14, 2008
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Nimesikia bbc kwamba uchaguzi umeisha na Tenga ameshinda
   
 3. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Afadhali maana huyo malinzi inaeonekana hakuwa wa heri alikuwa anatembeza fuba sana.
   
 4. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2008
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  na nafasi nyingine zimeenda kwa akina nani? ajuaye atujulishe....!
   
 5. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #5
  Dec 14, 2008
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  Makamu wa kwanza wa rais: ATHUMANI NYAMLANI..Makamu wa pili wa rais: RAMADHAN NASSIB
   
 6. Mtaalam

  Mtaalam JF-Expert Member

  #6
  Dec 14, 2008
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 1,278
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  naona kwa michuzi kaweka matokeo huko!
  tuombe mungu migogoro iwe michache gurudumu la soka liendelee kusonga mbele
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Dec 14, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Yule Criscentus Magori hakugombea tena? simsikii tena...
   
 8. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #8
  Dec 14, 2008
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,437
  Likes Received: 1,018
  Trophy Points: 280
  Duh! afadhali yale majina yaliyozoeleka kwa migogoro na kukosa maendeleo yamepigwa chini. Pongezi kwa washindi nawajue wanakazi kubwa watanzania waleo hawataki hujinga wala longo longo, wamepata fursa waprove kwamba waliowachagua hawajakosea.
   
 9. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #9
  Dec 15, 2008
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Damas Ndumbaro would have been a better choice for 2nd vice president.Jamaa angesaidia sana katika mambo ya kanuni na mambo kama hayo naona wameona wampe mtalaamu wa fitina Ramadhan Nassib.
   
 10. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #10
  Dec 15, 2008
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hivi huyu jamaa aliwahi fanya fitina gani?
   
 11. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #11
  Dec 15, 2008
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,437
  Likes Received: 1,018
  Trophy Points: 280
  Tatizo bongo sio kanuni na mambo kama hayo watu wanahitaji mtu atakaye badilisha kanuni kuwa vitendo. Na mbona hiko chama kimeongozwa na wanasheria sana tu na bado matatizo lukuki sana ndio hao wanaoanza kuleta utata kama wakina Madega.

  Mawazo mapya ni ya lazima na ukipata graduate from business school itaongeza thamani. Kama Ramadhani graduate wa FCM mlimani ni nafasi kwake kuonyesha business aspect of soccer apart from the legal aspect of it na katika kamati wapo wanasheria pia na comrade Tenga yupo bado sidhani kama Tenga atakubali kazi aliyofanya kwa miaka minne ipotee kwa sababu Ndumbaro hayupo.

  Kinyamana ukikubali uamuzi wa wajumbe waliokuwepo na kupiga kura utaona kunakitu wamekiona kwa Nassib ambacho waTZ watakuwa na manufaa nacho mpe nafasi naye approve kuliko kuanza kupika majungu wakati hata kazi bado na TFF ni Taasisi.
   
 12. Bonnie1974

  Bonnie1974 JF-Expert Member

  #12
  Dec 15, 2008
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 407
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mshikaji kapigwa transfer Mtwara.
   
Loading...