Pambano la watani wa jadi likiisha kifurahisho kingine kinaelekea kwenye mapato ya mechi ambapo muda si mrefu tatasikia loss imepatikana...kwa kuelekea xmass na kumwogopa mungu tunaomba...
WESTWEGO, La. -- Chris Henry's fiancee wept as she spoke about the Cincinnati Bengals receiver at his funeral Tuesday, and she said while she may have helped steer him out of trouble, he changed...
Testing issues could derail Mayweather-Pacquiao
By Kevin Iole, Yahoo! Sports 9 hours, 40 minutes ago
Top of Form
Buzz up! 1503
Bottom of Form
Print
Nearly...
Mchezaji wa timu ya Barcelona ameibuka kidedea masaa kadhaa yaliyopita baada ya kumwaga kwa mbali Ronaldo. Kura zinaonyesha Messi alipata kura karibu mara tatu ya zile Ronaldo. Maswali ya...
Nimesikitika sana mabondia wetu wanashindwa hata kupata milo ya maana kujenga miili yao.
Kulia ni bondia Festus Omondi kutoka nchini Uganda atakaye pambana na hasimu wake Mbwana Matumla (kulia)...
For Senior JF soccer Fun's,
I just want to know who is our Primiership Goal scorrer ever? Do anyone has a record?
I'm just guessing the following strikers
1. Peter Tino
2. Madaraka Selemani...
Haruna Moshi 'boban' secures contract with swedish side Gefle FC
Haruna Moshi 'Boban' in Sweden
A new acquisition to the next season is ready for Gefle IF. Haruna Moshi with the stage name...
Because it looks so Hollywood.
By Brian PalmerPosted Monday, Dec. 14, 2009, at 6:18 PM ETWhy wouldn't you just fire a pistol the normal way?As police chased Raymond "Ready" Martinez through Times...
Jamani za leo,
Napenda kuomba kama JF mnaweza kutuwekea x-mas carrolz tuweze burudika moja kwa moja thru hapa.
Natanguliza shukrani zangu kwa niaba ya wenzangu watakaopenda pendekezo langu.
UNICEF UK Ambassador and Manchester United player Ryan Giggs joined UNICEF to see how HIV and AIDS are affecting children in Sierra Leone
HIV is having a devastating impact on young people and...
Mwandishi kanjanja wa Gazeti la Jambo LEO bwana Willy Edward ameandika makala mbili za kumkatisha Tamaa,mchezaji wetu wa kimataifa Haruna Moshi Boban.
Maandishi ya Willy Edward sio ya kizalendo...
Eritrea football team 'absconds' in Kenya
Officials have launched a search for Eritrea's national football team after the players reportedly failed to return home following a tournament in...
washikaji nimepata link ya TVC ya kili... lakini link ilizua mjadala, angalia posts chini basi nimeiondoa, mtu yeyote atakayeitaka ani pm, nitamtumia privately
Nadhani kama ningekuwa msanii kama Lady JayDee, Mr. II, Saida Karoli au hata bendi kama Twanga Pepeta ningefanya bookings kwenye vilabu na viwanja vingine vya maonyesho, kwa kipindi chote cha...
Nimetoka kuangalia pambano la bondia mtanzania aitwaye Obote Ameme na kijana mdogo wa kizungu, pambano limefanyika nchini Uswiss na lilikuwa linaonyeshwa na kituo cha Sky sports hapa UK. Lilikuwa...
Kuna msemo mmoja ambao ni maarufu sana wanautumia ndugu zetu wa znz unaosema "Kufungwa twafungwa lakini chenga twawala". Kwa nini wa znz wanapenda kuutumia huu msemo? Ukweli ni kwamba znz wako...