Eritrea: Timu nzima yazamia baada ya mashindano

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Eritrea football team 'absconds' in Kenya


Officials have launched a search for Eritrea's national football team after the players reportedly failed to return home following a tournament in Kenya.
The Eritreans were knocked out of the Cecafa competition for East and Central African nations last week.

But when the team plane landed back home, it was reportedly only carrying the coach and an official.

The government, which is frequently accused of repression, denies any players are missing.

But the country's football federation confirmed to Cecafa head Nicholas Musonye that the players had not returned.

Mr Musonye told the BBC's Focus on Africa programme it was the third time the Eritrean team had failed to return home after a tournament.

"The Eritrean federation have done their best to bring a team to the competition - unfortunately these boys had other ideas," he said.

"Definitely they are in Nairobi - we have so many Eritreans here - they must be somewhere."

He said he would establish the facts and hand the details on to the police.
The UN says hundreds of Eritreans flee the country every month.

Critics say the country's repressive government, poverty and a harsh national service regime forces many to leave.

But the government denies that Eritreans are fleeing and accuses the UN of lying about the figures.

http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/8412651.stm
 
Kweli kuna nchi ni balaa najua hata Drafur wakija bongo watazamia lazima......hata wale wasomali hawakuondoka wote.......
 
Nyota 14 wa Eritrea watowekea Kenya


na Mwandishi Wetu


WACHEZAJI 14 wa timu ya taifa ya Elitrea, wametoroka katika hoteli waliyokuwa wamefikia mjini Nairobi kwa ajili ya michuano ya Kombe la Chalenji iliyofikia tamati juzi.
Kwa mujibu wa Katibu wa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), Nicolas Musonye, wachezaji hao wametoweka huku wenzao wanane wakirejea kwao Eritrea.
Musonye alisema wao Cecafa tayari wamearifiwa kuhusu tukio hilo na watashirikiana na vyombo vinavyohusika kuhakikisha wachezaji hao wanakamatwa.
Akizungumza na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) jana jioni, Musonye alisema hiyo si mara ya kwanza kwa wachezaji wa timu hiyo ‘kuingia mitini’ baada ya mashindano.
“Wachezaji wa Eritrea wamekuwa na tatizo hili, wamewahi kufanya hivyo nchini Tanzania na Uganda, siwezi kujua kuna tatizo gani nchini kwao,” alisema Musonye.
Musonye alisema watafanya kila wawezalo kuhakikisha nyota wote 14 wanakamatwa na kurejeshwa kwao kwani wana uhakika hadi kufikia jana jioni, walikuwa bado wako nchini humo.
Katika michuano ya safari hii, Eritrea ilifanikiwa kufika hatua ya nusu fainali, lakini ikang’olewa na Kilimanjaro Stars kwa kufungwa mabao 4-0.
 
Just moments after a disastrous defeat by Taifa Stars in the CECAFA champions which ended in Nairobi on Sunday,12 members of the Eritrean National Team have gone into hiding in Nairobi.

Eritrean Embassy in Nairobi confirmed yesterday that out of 20 member team which was in Nairobi,only 8 Members left JKIA for Asmara on Sunday.He blamed the team members saying that one cannot run from his country no matter how poor it is.

A crisis meeting by senior security officers from Intelligence house met last evening with officers from the immigration ministry to strategize on how to nub the team members.Its also said that over 85 Detectives from NSIS were called in to help the police to track the team members.

In a related incident,Police in Mombasa bounced on 17 Tanzanian girls who were being smuggled to Kenya with promise of better house help jobs.The 17 with age from 12 to 23 were nabbed as they waited or their agent to book them into Nairobi bound buses.Detectives stage managed the arrest for several hours as they laid the dragnet at the bus termini for the agent to show up...but the agent never turned up.The girls who spoke to the media said they were promised better jobs which pay up to Ksh.25000 in lavish suburbs in Nairobi.

Latter in the evening,the police Airwing airlifted several officers to the Tanzanian border after reports emerged that more girls were on the way from Tanzania.The girls are being locked up at Mombasa Central Police station waiting for trial in court latter today
 
Umasikini na ukosefu wa amani ni kitu mbaya sana...Mtu unaikimbia nchi yako bila kupenda!...Lakini ni nani yuko responsible kuleta amani ya nchi?...si wananchi wenyewe?..Hawa nao wasichana wa Tanzania mbona wanatudhalilisha hivi nao!...Kazi ya 25,000/pm Ksh?...wapi na wapi?..Binadamu anatakiwa akombolewe Kifikra kwanza, mambo mengine yatajipanga yenyewe!
 
Na bado tutakoma...unawapimia wakenya nn? kama wanaigeria vile....
 
Umasikini na ukosefu wa amani ni kitu mbaya sana...Mtu unaikimbia nchi yako bila kupenda!...Lakini ni nani yuko responsible kuleta amani ya nchi?...si wananchi wenyewe?..Hawa nao wasichana wa Tanzania mbona wanatudhalilisha hivi nao!...Kazi ya 25,000/pm Ksh?...wapi na wapi?..Binadamu anatakiwa akombolewe Kifikra kwanza, mambo mengine yatajipanga yenyewe!

Ajira walizoahidiwa na Jakaya zimekuwa hekaya za Abunuwasi kwahiyo vijana wanaona afadhali wakawe watumwa ughaibuni mbele kwa mbele wakati muungwana yeye anabembea Jamaica!!
 
Tusiwalaum sana,miaka si mingi vijana wa Kisabato walipotelea USA baada ya kumaliza kongamano lao la dini na wale waliopotelea Ureno wakiwa na huyu Mbunge wa Iringa walikuwa wa wapi?

Madogo hao walikuwa wanacheza mpira ovyo sana kumbe walikuwa na lao moyoni.
 
Umasikini na ukosefu wa amani ni kitu mbaya sana...Mtu unaikimbia nchi yako bila kupenda!...Lakini ni nani yuko responsible kuleta amani ya nchi?...si wananchi wenyewe?..Hawa nao wasichana wa Tanzania mbona wanatudhalilisha hivi nao!...Kazi ya 25,000/pm Ksh?...wapi na wapi?..Binadamu anatakiwa akombolewe Kifikra kwanza, mambo mengine yatajipanga yenyewe!

Mkuu PakaJimmy,

Kshs. 25,000 ni karibu sawa na Tshs. 425,000 hivyo si pesa ya mchezo hiyo. Kama kweli walikuwa wanapelekwa kupatiwa hizo kazi, sio mbaya ingawaje nafikiri hapo naona kulikuwa na kuficha ukweli. Hao wasichana wangeishia kufanya sex slaves tu.

Hapa nani wa kulaumiwa, wasichana ambao wameonyeshwa njia ya kwenda kujipatia kipato kwa kufanya kazi halali au viongozi wetu ambao wameshindwa kuja na mipango endelevu ya kuwapatia vijana ajira?

Tiba
 
Umasikini na ukosefu wa amani ni kitu mbaya sana...Mtu unaikimbia nchi yako bila kupenda!...Lakini ni nani yuko responsible kuleta amani ya nchi?...si wananchi wenyewe?..Hawa nao wasichana wa Tanzania mbona wanatudhalilisha hivi nao!...Kazi ya 25,000/pm Ksh?...wapi na wapi?..Binadamu anatakiwa akombolewe Kifikra kwanza, mambo mengine yatajipanga yenyewe!

Kaka kupata kazi ya 25,000Ksh si mchezo sijui kudhalilisha ni kupi huko..hiyo ni kama 425,000Tshs..
think again na utoe mchango wako upya!
 
In a related incident,Police in Mombasa bounced on 17 Tanzanian girls who were being smuggled to Kenya with promise of better house help jobs.

Kweli snake heads wameingia bongo. Yote hii ni kwa sababu ya kushindwa kwa serikali kuwa na uwezo wa kutoa ajira kwa raia wake angalia wageni wanavyotudhalilisha hadi tunapata diplomats wanaotudharau kwa kututemea mate.
 
Back
Top Bottom