Messi bora duniani

bnhai

JF-Expert Member
Jul 12, 2009
2,781
2,301
LionelMessi_2399015.jpg

Mchezaji wa timu ya Barcelona ameibuka kidedea masaa kadhaa yaliyopita baada ya kumwaga kwa mbali Ronaldo. Kura zinaonyesha Messi alipata kura karibu mara tatu ya zile Ronaldo. Maswali ya kujiuliza, je Messi amesaidiwa na timu zake kutwaa Tuzo au yeye ndiyo amezipatia mafanikio timu zake. Itakumbukwa kuwa timu yake ya Taifa haipewi nafasi kubwa katika kombe la Dunia, je inawezekana Messi hiyo ndio tuzo ya kwanza na ya mwisho. Nini hatima ya Ronaldo ambaye anaonekana kuwa mpinzani wa Messi. Au tutegemee wengine tena kuchipuka katika kombe la dunia. Bnafsi nadhani Messi anastahili!!!
 
hahahhh Messi is the Best Kaka...u dont need a degree to know that...

sisemi hivi kwa sababu ni purely Barca, Hell no...dogo mambo anayoyafanya na umri

wake ni haviendani, ni msumbufu mpaka basi. wamechukua makombe yote makubwa

kwa msimu uliopita na juzi wamemalizia kuchukua club bora duniani na goli lilifungwa

na messi. so unashangaa nini hapo?
 
Nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani though umechangia kishabiki zaidi. Nilifikiri ungekuja na analysis nzuri zaidi ya kutufanya tuamini Messi ni zaidi ya Ronaldo kwa sasa.

Dogo ni mzuri lakini huwezi pinga ukweli Kwamba club imechangia kumfanya Messi a shine zaidi, ukitilia maanani viungo bora kabisa waliopo pale barcelona. Ingawa bado sijaona mchango wa Messi kwa timu yake ya Taifa ya Argentina, naamini atakuwa na mazuri mengi yakutuonesha wapenda soka come June 2010.

Kwangu mimi, top four players in the world now are (in order of priority)

1. Andre Iniesta (huyu jamaa ni nomaaaaa)
2. C. Ronaldo
3. Messi
4. Steven Gerald
 
Brooklyn:

AAAAAAAAAAH iniesta ni mzuri kweli ndo mana kwenye best 11 ya dunia yupo kwenye kiungo lakini huwezi kumlinganisha na messi aisee kwanza iniesta hachezagi mwanzo mwisho, huwa anaingia kwa mda flani pili iniesta alikumbwa na majeraha kipindi flani ambacho kilimfanya asicheze kwa mda flan. Lakini ukiangalia messi alikua na direct effects kwenye ushindi wa barca, argentina wana matatizo mengi sana...hata kina teves wanaonekana hivyohivyo. Messi is the Best na anastahili hilo.

Brooklyn U have to agree with that pls!
 
LionelMessi_2399015.jpg

Mchezaji wa timu ya Barcelona ameibuka kidedea masaa kadhaa yaliyopita baada ya kumwaga kwa mbali Ronaldo. Kura zinaonyesha Messi alipata kura karibu mara tatu ya zile Ronaldo. Maswali ya kujiuliza, je Messi amesaidiwa na timu zake kutwaa Tuzo au yeye ndiyo amezipatia mafanikio timu zake. Itakumbukwa kuwa timu yake ya Taifa haipewi nafasi kubwa katika kombe la Dunia, je inawezekana Messi hiyo ndio tuzo ya kwanza na ya mwisho. Nini hatima ya Ronaldo ambaye anaonekana kuwa mpinzani wa Messi. Au tutegemee wengine tena kuchipuka katika kombe la dunia. Bnafsi nadhani Messi anastahili!!!

Mkuu nimekupata, ila tujikumbushe kura zinapigwaje kumpata FIFA best player of the Year?

Ni Makocha na Makaptain wa nchi 147 duniani.

Kuna vigezo ambavyo wanatumia, lakini mchezaji anayepata kura nyingi ndo anakuwa mshindi.

Kila mtu atakuwa na mtazamo wake, ila kwangu mimi naona MESSI ni bora duniani kwa sasa - Untouchable.

akifuatiwa na Cristiano Ronaldo, Xavi, Kaka na Andres Iniesta
 
Lazima tukubali ukweli hii tuzo imeenda kwa mtu aliyestahili..dogo yupo juu.
 
Naona kama kawaida kila mwaka watu wanamsahau dada yetu
pixel-vfl73.gif
Marta Vieira Silva.

Huyu kwa MARA YA NNE MFULULIZO kachukua kiatu cha dhahabu kwa wanawake.

Kamua dada Marta kamua. Muone akiwasotesha wanawake wenzie utafikiri KIDUME.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=OkKV1bzu1-Q&feature=related[/ame]
 
Back
Top Bottom