Kanjanja willy edward vs haruna moshi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kanjanja willy edward vs haruna moshi

Discussion in 'Sports' started by kanda2, Dec 4, 2009.

 1. k

  kanda2 JF-Expert Member

  #1
  Dec 4, 2009
  Joined: Apr 22, 2007
  Messages: 1,318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Mwandishi kanjanja wa Gazeti la Jambo LEO bwana Willy Edward ameandika makala mbili za kumkatisha Tamaa,mchezaji wetu wa kimataifa Haruna Moshi Boban.

  Maandishi ya Willy Edward sio ya kizalendo na hayana maslahi yeyote kwa Taifa.

  Willy Edward ambaye tumewahi kuambiwa alifukuzwa kazi gazeti la Majira kwa kutokujua kazi ya uandishi.ameibuka na makala kumshutumu BOBAN kuwa kadanganya miaka ya kuzaliwa.

  WILLY EDWARD wewe ni mzazi wa BOBAN kiasi ujifanye kumjua kuliko wazazi wake?

  utapata nini kuandika makala haya? unataka uoneka wewe ni YANGA ZAIDI na unawakomoa simba. hilo sio jibu Mafanikio ya BOBAN NI MAFANIKIO YA TAIFA.

  HIVI WEWE UNA SIFA YA UANDISHI? AU UMEHUDHURIA KOZI ZA WIKI MBILI PALE MTANZANIA?
   
 2. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2009
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkuu kwanza kabisa nikukumbushe kidogo ujumbe uliopo kwenye signature ya mwanakijiji: Kuna uzalendo na kuna uzalendo wa kijinga; kutetea ujinga ni uzalendo wa kijinga. inawezekana sijai-quote signature hiyo neno kwa neno lakini nataka ujue tu kwamba suala la kudanganya umri kwa ajili ya kjitafutia maslahi binafsi usilihusishe na maslahi ya taifa. Halafu unapomzungumzia mchezaji wa simba kama kuna mtu anampinga sio lazima awe ni yanga, huu ni mtazamo potofu.
  Labda we mgeni hapa mjini hukumbuki yaliyotukuta kwa serengeti boys; Nurdin Bakari na Abdallah Kibadeni kwa kutafuta uzalendo wa kijinga wakasababisha tanzania kufungiwa miaka miwili kushiriki mashindano ya umri wa u-17 pamoja na kuondolewa kwenye fainali za mashindano waliyokuwa wamefuzu kushiriki.
  Lakini vile vile miaka ya nyuma ghana na nigeria kulikuwa na huo mchezo wa kudanganya umri kwa maslahi binafsi kwa mgongo wa maslahi ya taifa na nchi hizo hazikufanikiwa kamwe katika soka hadi pale walipoamua kwa dhati kuachana na uzalendo wa kijinga, ndipo unaiona ghana na nigeria zinavyotingisha kwenye soka la afrika na dunia kwa ujumla. Kwahiyo kabla hujatokwa na povu kiasi hicho, fanya home work yako vizuri.
   
 3. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #3
  Dec 4, 2009
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  HARUNA MOSHI SHAABAN "BOBAN"
  kijana wa unyanyembe Tabora wengi tunamjua!!!leo kuambiwa ana miaka 22!!!hii hata haiingii akilini!!!
   
 4. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #4
  Dec 4, 2009
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  angalia kanda2 atakuambia wewe ni yanga!!![​IMG]

  pia hachelewi kukwambia unaikomoa simba na wala hauna uzalendo!!!
   
 5. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #5
  Dec 4, 2009
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mimi ni Yanga kweli ila simchukii Haruna Moshi Shaaban au Boban wanavyomuita ila ukweli unabidi usimame palepale,ebu chukua mfano hiyo timu ikiangalia CV ya Haruna na kukuta alishawahi kucheza Taifa Starz na wakataka detailz zake zaidi sijui huko kwa Maximo kama Umri wa Boban ni miaka 22!!!
   
 6. Mopao Josee

  Mopao Josee JF-Expert Member

  #6
  Dec 4, 2009
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuna madokta feki kibao na ni mawaziri sembuse kudasnganya umri? isiwe sababu ya kujadili saaaaana ila matendo/kiwango chake kiwanjani ndicho kitasema.mbona obafem martins alisema ana miaka 18 wakati alikuwa na 23??????????????
   
 7. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #7
  Dec 4, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Tuambie basi umri sahihi wa Haruna, kusema tu unamjua is not enough mkuu, Uko JF basi usiendekeze majungu, come clear eleza Haruna alizaliwa lini, amesoma wapi na ameanza kucheza soka lini na timu gani
   
 8. k

  kanda2 JF-Expert Member

  #8
  Dec 4, 2009
  Joined: Apr 22, 2007
  Messages: 1,318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145


  wewe mjini unakujua? Kibaden anakaa mtaa gani hapo Ilala? hiyo signature ya Mwanakijiji imesaidia nini wakati Nchimbi,Kamala,Norman Sigalla,Mary Nagu,Mahanga na Lukuvi bila kumsahau David Mathayo wana vyeti feki.kama wewe mzalendo ungesahihisha hilo kwanza.

  kwa TAARIFA YAKO NA WAKUJA WENZAKO KAMA WILLY EDWARD MIMI NI MTOTO WA MJINI NA SHABIKI NAMBA MOJA WA YANGA NDIO MAANA NAJIITA KANDA2. USHABIKI WANGU KWA YANGA NIMEULETA HAPA JF.LAKINI KWA HILI LA BOBAN NIMEONA NI UJINGA NA UPAMBAVU WA WILLY EDWARD AMBAYE NI KAJANJA.

  SWALI WILLY EDWARD KASOMA WAPI? KUTOKANA NA KUKOSA MAADILI YA KAZI YAKE NDIO MAANA ALIFUKUZWA GAZETI LA MAJIRA.
  KAMA YEYE NI MZALENDO AMEFANYA NINI JUU YA KOCHA MAXIMO?
   
 9. k

  kanda2 JF-Expert Member

  #9
  Dec 4, 2009
  Joined: Apr 22, 2007
  Messages: 1,318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  wewe una akili za willy edward. Kanda2 anakuwa simba toka lini?
  kaamulize mzee yusuf mzimba kanda2 ni nani? Kama wewe unajifanya unajua mpira na mtu wa mjini club ya yanga ya zamani iko mtaa wa mafia nyumba namba ngapi? Kanjanja mkubwa wewe.
   
 10. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #10
  Dec 4, 2009
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  iy
  Kuwa mtoto wa mjini sio kujua kibadeni anakaa wapi, mtoto wa mjini ni pamoja na kuwa na uelewa mkubwa wa mambo ndani ya mukichwa yako. sasa hiyo habari ya kibadeni anakaa nyumba namba ngapi ni yako mwenyewe na haituhusu wala kutusaidia kitu. Hao vihiyo uliowataja kuna mzalendo mmoja ameshaanza kuwashughulikia kisawa sawa na hata hapa jamvini tulisha wapekenyua nje ndani kiasi cha kutosha kwahiyo hiyo sio hoja tena. Na kama hujui kwamba hao uliowataja wameshapatiwa dozi zao, huwezi kuwa mtoto wa mjini, bora mie wa bara ninayefahamu yanayojiri mjini kuliko weye unajiita mtoto wa mjini halafu unakesha ukisiliza redio mbao za vijiwe umbea.
  Kwani kufukuzwa kazi majira ndio kitu gani? kwani kufukuzwa kazi nayo ni issue? wangapi wamefukuzwa kazi bana itakuwa huyo willy edward?
  sasa unataka amfanye nini maximo?yeye anamuweza boban, sasa wewe "mtoto wa mjini" shughulika na maximo usitake kulialia hapa. Halafu nimekumbuka kitu, kama wewe ni yanga, bilashaka utakuwa yanga asili, manake nyie ndo mnapenda ugomvi hasa mnapoyatafutia matumbo yenu, mlipopewa mpunga na yusuph manji mkanywea nywiiiiiiii!!!
   
 11. M

  Matarese JF-Expert Member

  #11
  Dec 4, 2009
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Is this really "The home of Great Thinkers?". Too low! Please discuss ideas. Nothing ever good comes out of discussing personalities.
   
 12. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #12
  Dec 4, 2009
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hili nililigundua pale tu ulipojieleza kwamba wewe ni yanga, nikajua utakuwa yanga asili, sasa unaona??kabla sijameza mate mwenyewe umeamua kutoka kichakani. tatizo lako nimeanza kulijua, ni kawaida yenu yanga asili mkiishiwa cha kulisha matumbo yenu kutafuta hisani kwa udi na uvumba. Nadhani unaanza kutafuta hisani kwa bobani ili siku moja akununulie wanzuki kwa kujidai kwamba ulikuwa kwenye mtandao wa kufanikisha mambo yake ya kucheza ulaya na bla bla za kutosha.
  Hata hivyo siwezi kupoteza muda kujibishana na yanga asili kwakuwa hatutaelewana. najua mmeanza kuweweseka baada ya tff kuupiga stop uchaguzi wenu & simba. mlikuwa mmeshaanza kuandaa matumbo ya pilau la uchaguzi mkuu na sherehe za mwaka mpya wa 2010. pole sana kajipangeni upya.
   
 13. K

  Kabogo Member

  #13
  Dec 4, 2009
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!!!!!!..
   
 14. k

  kanda2 JF-Expert Member

  #14
  Dec 4, 2009
  Joined: Apr 22, 2007
  Messages: 1,318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  kutokana na umjini wetu tumeweza jengo jipya na uwanja.nyinyi kampuni mmefanya nini?

  The bottom line willy edward ni kanjanja ndio maana akafukuzwa majira kwa kuwa na habari zisizo na tija.anamwandama obafemi martin leo jambo leo likishitakiwa anaweza kulipa compensation?

  Mie nasikilziza mpira kijiweni.ulitaka niwe kama wewe wa kuja unayesubiri luninga?
  Kafie mbele
   
 15. E

  Eddie JF-Expert Member

  #15
  Dec 6, 2009
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 516
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kanda2,

  Unahangaika na hao akina Mwita ambao kwao Dar ni exit tu, si unaona reference zake ni Mwanakijiji and the like. Kwao wao Mwanakijiji ndio mwisho wa kila kitu kwa kuwa wametoka nae milimani wote.

   
 16. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #16
  Dec 6, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Obafemi martins amedanganya umri na anapeta,
  sio big deal kihivyo....

  Acheni chuki za kibongo.
   
 17. Semenya

  Semenya JF-Expert Member

  #17
  Dec 6, 2009
  Joined: Sep 5, 2009
  Messages: 572
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  Ndugu yangu Boss, Martins alivyodanganya umri ilisababisha kuondolewa Inter. Ilikua ni sababu kuu kabisa kuondoka Inter...Angalia sasa martins anapotea katika ramani.
   
 18. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #18
  Dec 6, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  but kacheza miaka mingapi???
  Kashakusanya milioni ngapi?
  Na hakuondolewa bali aliuzwa.
  Kwa
   
 19. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #19
  Dec 7, 2009
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  We nae si ni wale wale, unamsaidia yanga asili mwenzako kulia mpunga wa uchaguzi umeyeyuka.
  unafikiri kama wewe unashikiwa akili na kanda2 ndivyo wote tulivyo? Issue hapa si kumfanyia reference mwanakijiji(maana mna chuki binafsi nae) nilichofanya reference ni hoja yake, na wala hiyo haina tatizo.
  Tatizo lako ni kusupport kitu kwa kuangalia ni nani kasema wakati wengine tuna support kwa kuangalia hoja, hapo ndipo tunapojitofautisha. upo hapo "mtoto wa mjini"???
   
 20. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #20
  Dec 7, 2009
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ndio maana hawafundishiki, kila siku mnaishia kumlalamikia maximo kumbe wachezaji wenyewe kwishnei hawawezi kushika mafunzo wameshajizeekea!!
  we subiri tu aende kama atamaliza miezi mitatu hujaambiwa karudi kimya kimya. Vinginevyo ataingia mitaani huko sweden kucheza mechi za mabonanza!!
   
Loading...