X-mas carollz

Penny

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
575
48
Jamani za leo,

Napenda kuomba kama JF mnaweza kutuwekea x-mas carrolz tuweze burudika moja kwa moja thru hapa.

Natanguliza shukrani zangu kwa niaba ya wenzangu watakaopenda pendekezo langu.
 
UPO KWELI Penny?
Hata Salamu?
By ze way, asante kwa kuwakumbusha hawa wakuu!
 
Nipo baba, jamani PJ samahani kama sijakusalimu...ehe mambo vipi, waendeleaje na maisha babangu. Mimi nipo ndo kama hivi leo niko hewani...nikaona niwakumbusha waungwana kama tunaweza kupata hivyo vitu maana ndo mda wenyewe huu. au sio!
 
Jamani za leo,

Napenda kuomba kama JF mnaweza kutuwekea x-mas carrolz tuweze burudika moja kwa moja thru hapa.

Natanguliza shukrani zangu kwa niaba ya wenzangu watakaopenda pendekezo langu.

Ni kweli kabisa,maana huu ndo muda muafaka hasa.Hope mods wameliona hili na watalifanyia kazi,,,Pendekezo lako limepita mama
 
Thanks beiberry, your encouragement is highly appreciated.
 
Mwaka huu ze kalaz hakuna wakuu! Kuna thread moja kule kwenye malalamiko, mratibu mkuu ameshasema kuwa hakutokuwepo na ze X-mas kalaz.
 
Asante kwa info Kibz, lakini ingependeza sana kama zingekuwepo yani, na x-mas ingenoga zaidi.
 
Back
Top Bottom