TFF:Tuambieni zimepatikana ngapi, mnakula ngapi, mnatangaza ngapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TFF:Tuambieni zimepatikana ngapi, mnakula ngapi, mnatangaza ngapi?

Discussion in 'Sports' started by Pdidy, Dec 25, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Dec 25, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,627
  Likes Received: 5,790
  Trophy Points: 280
  Pambano la watani wa jadi likiisha kifurahisho kingine kinaelekea kwenye mapato ya mechi ambapo muda si mrefu tatasikia loss imepatikana...kwa kuelekea xmass na kumwogopa mungu tunaomba mwakaleebele na tenga tuambieni ukweli zimepatikana ngapi mtatutajia ngapi hadharani,na tunakula ngapi mueweze kutuvutia kwenye uchaguzi ujao....
  Tumechok na vipato vya ajabu vinavyotangazwa mara kwa mara
   
Loading...