Wasanii Wa Tanzania Wanajiandaaje na World Cup? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasanii Wa Tanzania Wanajiandaaje na World Cup?

Discussion in 'Sports' started by Keynez, Dec 15, 2009.

 1. Keynez

  Keynez JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 640
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  Nadhani kama ningekuwa msanii kama Lady JayDee, Mr. II, Saida Karoli au hata bendi kama Twanga Pepeta ningefanya bookings kwenye vilabu na viwanja vingine vya maonyesho, kwa kipindi chote cha Kombe la Dunia huko South Africa, hata kama bila malipo, siyo tu wangeweza kujitangaza lakini wangeweza kuuza kazi zao sana kwa kipindi hicho cha mwezi mmoja.

  Wasanii changamkeni (kama wananisikia), mafanikio hayajileti.
   
Loading...