Kwa mtazamo wangu, Manny Pacquiao naona atashinda hii mechi ya leo usiku.
Ila kama Mayweather alivyogusia, nina wasiwasi Pacquiao atakuwa anatumia madawa ya kuongeza nguvu (au hata kuficha vyuma...
Chelsea's Didier Drogba wins African football award
Drogba is the skipper of Ivory Coast and a key player for them
Ivory Coast and Chelsea striker Didier Drogba has been named African...
London 2012 - Entire Pakistan hockey team quit
Pakistan's entire World Cup squad have announced their international retirement after finishing last at the 12-team tournament in India.
Pakistan...
Kuna habari kuwa wachezaji Simba hawalipwi mishahara muda muafaka.
Habari toka Yanga zinasema uongozi wa timu hiyo umesikitishwa na kitendo cha wanachama wake kumpiga na kumng'oa meno, mwanachama...
Drogba named African Footballer of the Year
Wadau wa Chelsiki mpo?? mbona hammpi hongera zake kijana wenu kwa kupata tuzo hiyo? au yaonekana kama tuzo ya mbuzi???
Didier Drogba has been...
MEMPHIS, TN - OCTOBER 12: Hasheem Thabeet(notes) #34 of the Memphis Grizzlies defends Dwight Howard(notes) #12 of the Orlando Magic on October 12, 2009 at FedExForum in Memphis, Tennessee
UWANJA - Sansiro
MAHALI - Milan
WATAZAMAJI - 85,700
ULIANZA KUJENGWA - 1925
KUFUNGULIWA RASMI - 19 SEP: 1926
BARABARA YA KUINGILIA - PICCOLONINI.
Siku chache zimebaki kabla ulimwengu...
Wadau wa man u mpo,aisee vijana wamefanya kazi tuliokuwa tunaisubiri maana kwanza Rooney amejustify ni super star lakini pili Ronaldo atakuwa akimshangilia Rooney maana fainali mwaka huu ni SPAIN...
Chuck Norris' birthday is afraid of Chuck Norris.
The action star, black belt and all-around tough guy is turning 70. Really. Not that age could put a stop to the actor -- or to searches on him...
Real surge ahead
m
1 1 Real Madrid 401.4
2 3 Barcelona 365.9
3 2 Manchester United 327.0
4 4 Bayern Munich 289.5
5 6 Arsenal 263.0
6 5 Chelsea 242.3
7 8 Liverpool 217.0
8 Juventus 203.2
9...
USHINDI wa mabao 3-1 ilioupata Simba dhidi ya JKT Ruvu, Jumamosi ulisababisha kizazaa kwenye maeneo ya Manzese jijini Dar es Salaam kati ya wanandoa.
Wanandoa hao ambao mwanaume ni...
Ghanaian player Bartholomew Opoku dies after game
Ghanaian football authorities have confirmed that a player has died after collapsing on the pitch during a game.
Bartholomew Opoku, 19, was...
Jumapili nilibahatika kuhudhlia pambano hati ya Timu ya mpira wa miguu Ethiopia "The LUCY" na twiga stars ya kwetu.baadaye katafrija kadogo Ubalozini kutokana na ushindi wao 3-1.
Kinachonishangaza...
Wadau, hivyi kweli mnaielewa TBC esp ratiba zao za kuonesha mechi kila jumamosi? Maana kila inapofikia mechi ya Man U basi siku hiyo hawataonesha LIKE WISE kwa wenzao ITV n Radio 1 wamegoma kabisa...
Timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars imeifunga timu ya taifa ya Ethiopia kwa mabao matatu kwa moja.
Mchezo huo umefanyika mjini Addis Ababa.
Mwenyekiti wa chama cha soka cha...
It is Sunday and I feel like sharing a song that make me think of others in need. Please share one if you can, thanks.
http://www.ilike.com/artist/Bill+Withers/track/Lean+On+Me
YouTube- Werrason Champagne Deplick
MITTERAND CHAMPAGNE
YouTube- Ali Kiba - Mali Yangu
ALLI KIBA
nawafananisha sana hawa jamaa maana pozi zao,style,kupenda madem,kubana pua,kila kitu wako...
Maoni ya katuni.
Wiki iliyopita, klabu tatu zilizokuwa zikiiwakilisha Tanzania katika michuano mbalimbali ya Afrika zilitolewa kwa vipigo vya aibu. Yanga...
Tujikumbushe wakati ule miaka ya 80 zanzibar ilipokuwa zanzibar ya kweli Raha tupu ukingia bwawani ,fuji , madema au afrika House billa kusahau Starehe club mabaria wa kizenj wakingia na kutoka...
Michuano ya AFCON 2010 inayoendelea kule Angola imeanza kuwa na msisimko mkubwa hasa baada ya michezo ya pili kuanza. Macho ya Wa-Afrika wengi inaziangalia timu za Ivory Coast, Ghana, Nigeria...