Hukumuzuku
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,687
- 5,038
Kwa mtazamo wangu, Manny Pacquiao naona atashinda hii mechi ya leo usiku.
Ila kama Mayweather alivyogusia, nina wasiwasi Pacquiao atakuwa anatumia madawa ya kuongeza nguvu (au hata kuficha vyuma au vitu vigumu kwenye kwenye gloves) sababu sioni anachowazidi wapinzani wake kwa boxing skills na athleticism. Ukiona jinsi alivyomtwanga Cotto kiurahisi kwenye mechi yake ya mwisho Novemba 2009 utanielewa. What do you fellas think about this?