TBC n ITV hawana tofauti....!!!???


Dr. Chapa Kiuno

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2009
Messages
445
Likes
4
Points
0

Dr. Chapa Kiuno

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2009
445 4 0
Wadau, hivyi kweli mnaielewa TBC esp ratiba zao za kuonesha mechi kila jumamosi? Maana kila inapofikia mechi ya Man U basi siku hiyo hawataonesha LIKE WISE kwa wenzao ITV n Radio 1 wamegoma kabisa kuonesha mechi za Simba au hata kutoa habari zozote za Simba... Hii ni sahihi kweli?


Maoni jamani n wala tusijenge chuki.
 

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Messages
40,156
Likes
4,638
Points
280

Katavi

Platinum Member
Joined Aug 31, 2009
40,156 4,638 280
Hawa ITV wana matatizo sana, wakikorofishana kidogo tu na viongozi wa timu basi wanasusa kutangaza habari za timu husika. hii si mara ya kwanza kwa ITV/Radio One kususa habari za simba.
 

Edson

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2009
Messages
9,247
Likes
781
Points
280

Edson

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2009
9,247 781 280
kwa tbc hawa hawana ratiba na hawajali mda.hata taarifa ya habari inaanza saa mbili na dk 5.
imekuwa ya kibiashara zaid. kwenye mpira hawana ratiba,

kwa itv hawa ndoi maboga kweli, hata habari zao za michezo huwa za makombe ya kuku. ni bora kipengere cha michezo wangefuta kabisa
 

Mbonea

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2009
Messages
640
Likes
3
Points
35

Mbonea

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2009
640 3 35
kwa tbc hawa hawana ratiba na hawajali mda.hata taarifa ya habari inaanza saa mbili na dk 5.
imekuwa ya kibiashara zaid. kwenye mpira hawana ratiba,

kwa itv hawa ndoi maboga kweli, hata habari zao za michezo huwa za makombe ya kuku. ni bora kipengere cha michezo wangefuta kabisa
Mkuu, uko sahihi kabisa... TBC wako kibiashara n ITV wako after BOSI anataka nini... Ndy maana huwa anaweza akaongea hata dk 10 ndani ya habari bila kukatishwa... C wakubali tu Simba anatisha season hii?
 

Mlachake

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2009
Messages
3,208
Likes
1,013
Points
280

Mlachake

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2009
3,208 1,013 280
kwa tbc hawa hawana ratiba na hawajali mda.hata taarifa ya habari inaanza saa mbili na dk 5.
imekuwa ya kibiashara zaid. kwenye mpira hawana ratiba,

kwa itv hawa ndoi maboga kweli, hata habari zao za michezo huwa za makombe ya kuku. ni bora kipengere cha michezo wangefuta kabisa
Ukitaka kupata uhondo wa habari za michezo cheki Star tv. jamaa wako juu sana.
 

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2009
Messages
9,988
Likes
461
Points
180

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined May 3, 2009
9,988 461 180
Ukitaka kupata uhondo wa habari za michezo cheki Star tv. jamaa wako juu sana.
Mlachake nimekugongea thanx mimi nadhani STAR TV wapo juu zaidi ya hawa wawili. Yaani kwenye michezo wapo juu sana utaona habari zao ni za kina na kwa undani zaidi ya ITV. ITV bana wakionesha chandimu cha Bongo kwenye habari yao hata magoli huwa hawaoneshi sasa sijui ni habari ya wapi ya michezo, hata Channel Ten wako juu. TBC sijui wanafanyaje kazi maana sometimes kipindi kinaisha lkn huwezi jua kama kimeisha, kinakatishwa tu ghafla, muda kwao si kitu cha kujali saaana, aaagh TIDO onyesha ujuzi wako baba.
 

Gang Chomba

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Messages
8,790
Likes
845
Points
280

Gang Chomba

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2008
8,790 845 280
ITV gagulo
TBC sidiria...
Zote nguo za ndani.

Taarifa zao za habari utaona mashindano ya wafanyakazi wa mabenki, mara sijui kuvutana kamba, mara draft, mara sijui darts yaani upuuzi puuzi.

Lakini tofauti kubwa sana na star TV.
Hawa jamaa ukiangalia habari watakuonyesha habari za YANGA kamchambisha Azam.

Au utasikia ''na huko barani ulaya ktk ligi ya Serie A kiungo mshereheshaji anayeaminika kucheza soka la mbinguni Ronaldinho Gaucho the Saint jana aliisaidia klabu yake yenye mafanikio zaidi ulimwenguni ya AC Milan kuibuka na ushindi wa goli 3-0''.....halafu wanakupeleka uwanjani na kukuonyesha miujiza na chenga zenye upako toka kwa Dinho.

Hakika star TV wako juu kwa michezo.
Japo nao wakiamua kukufurulizia mashindano yao ya jimbo cup wanaboaga.
 

nguvumali

JF Bronze Member
Joined
Sep 3, 2009
Messages
4,891
Likes
183
Points
160

nguvumali

JF Bronze Member
Joined Sep 3, 2009
4,891 183 160
ITV na Radio one, kama mzee Mengi hatabadiri management zake, kwangu mimi naona anajiandalia kifo cha vituo hivyo.
nasema haya kwasababu, viongozi wake hawana ubunifu wakisasa, hawana mbinu za kukabiliana na changamoto za maisha ya kisasa.
ITV inaendeshwa vilevile kama miaka kumi iliyopitwa, kwa kuangalia mtiririko wa vipindi, uwasilishaji wake na hata haiba ya watangazaji wake.
Radio One, ndo kabisa, hata akifufuka leo mtu aliekufa mwaka 2000, ataweza kukupa ratiba nzima ya vipindi bila taabu.
hii ni ishara ya uongozi uliofulia, uongozi unaokopi na kupaste yaleyale.
ITV/Radio One KUGOMEA MECHI ZA SIMBA, hiki nacho ni kielelezo cha uongozi wenye fikra mgando, wanatumia majungu na fitina na hata mapenzi yao binafsi kuihukumu na kuinyonga SIMBA.
Kama hawakuwa na maslahi binafsi ni kwanini iwaume Simba kugomea Mechi zao kuonyeshwa ?
mbona imewauma sana ? mbona Star TV wanaendelea kama kawa na matangazo yao kuihusu Simba ?
Deo Rweyunga na Issack Gamba plus KitenGE Maulid, mmeumbuka ama Mmmeumbuliwa na Kaduguda, Fitina zenu hazitashinda.
 

Forum statistics

Threads 1,204,151
Members 457,147
Posts 28,143,410