Ronaldo asubiri kumshangilia rooney fainali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ronaldo asubiri kumshangilia rooney fainali

Discussion in 'Sports' started by Gokona, Mar 11, 2010.

 1. G

  Gokona Member

  #1
  Mar 11, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau wa man u mpo,aisee vijana wamefanya kazi tuliokuwa tunaisubiri maana kwanza Rooney amejustify ni super star lakini pili Ronaldo atakuwa akimshangilia Rooney maana fainali mwaka huu ni SPAIN tena uwanja wa Real Madrid,Kikubwa ni kumzima mdomo wenger alieanza kuchonga maana aggregate ni 7-2, tatizo lake achelewi kulia big up sana red devil
   
 2. Dj Khalid

  Dj Khalid Member

  #2
  Mar 11, 2010
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Mimi ninadhani kama kuna ukweli fulani vile kuhusiana na ishu ya Cristiano Ronaldo na Galacticos wenzake watakuwa wakiwashangilia wakina Wayne Rooney na Manchester United yake siku ya fainali pale Santiago Bernabeu Madrid,Spain. Man Utd wanatisha wazeiya isipokuwa amebaki Liverpool na Chelsea kunyongwa pale ndani ya Old Trafford na hawa wote watakufa kama walivyokufa wenzao au sio jamani? By Dj Khalid from T.A
   
Loading...